Una point sehem flan kaka,ila ni vigumu Sana kutomfatilia kabisa mkeo.Acha kufatilia hayo mambo hayakuhusu na akitongozwa pia usitake kujua na wala yeye asikwambie,
Wewe hakikisha kitandani anaridhika haswa na ongeza bidii kutafuta hela!
Nafikiri wanapenda Ile kutongozwa tongozwa na wanaume wengine,itakuwa Kuna raha flan wanaipata kuona bado wanatakiwa na watu wengine,labda tuongeze mahaba ili isifike wakat wakalazimika kutafuta msisimko mpya huko njeMi hili linanipa shida sana mamsap yupo so attractive sasa kwa juhudi zangu na najikuta sipendi hata kuona mtu nisiemjua tena kidume anaongea na mrembo wangu.
Ni mpenzi wa social net. Wengi wanakuja kwa gia za kirafiki huko facebook ila wanaishiaga kuomba namba na hatimae kumtongoza na nishaongea sana kuhusu hilo ila bibie anaonekana anapenda zile attention za kipuuzi nikaona sina sababu ya kuingilia uhuru wake ingawa nakereka.I've let her be...
Sikupenda hata ajiunge huko facebook ila toka ameitumia hataki kuiacha nmeamua kukaa kimya sasa maana ile hali ya ku monitor conversations zake na hao watu inapelekeaga tugombane kabisa. Mwishowe akaanza kuzifuta chats yani maana anajua nitauliza.
Najiuliza tu how can a woman be friends na wanaume wanaomtongoza then haoneshi msimamo wake mapema kuwa yupo taken, like anawaonea aibu kuwachana wtf! Ingawa hajawahi nisaliti im monitoring her moves toka kitambo ila hali yake ya kuwa exposed na washenzi wa fb inanikoseshaga raha at the end ukifikiria jinsi akili za KE yeyote zinavyoweza kurubuniwa kirahisi akavuliwa pichu.
Nilichoamua kufanya ni kutouliza natembeza block za kimya kimya tu. Whatsapp nabadilisha namba naweka za watu wangu naowajua kwa jina lile lile alosevu akianza chat nao hata kwa siri amani tu. Maana ni za washkaji zangu naowaamini na yeye shemej yao!
Ha ha ha ha
Kuna vitu unavichanganya bro,kaa fikiria vizurMwanamke mzuri anakuwa credited kwenye papuchi yake mkuu sio sura!Kuna demu nilimpata UDOM kwa sura nzuri sana lkn ana uke mpana sana!
Lkn kuna kadada hapa mtaani Kabaya kabaya tu lkn kana uchi unabana sana aisee!
Akija wa UDOM na huyu wa mtaani namfukuza wa UDOM
Haa ha ha ha, mkuu picha ikiletwa si utaomba na namba yake ya simu?Weka picha
Sasa wewe endelea kumfatilia uje ujipige risasi, kwa maana kitendo cha kuwa na mashaka kitapunguza mapenzi na ukimuonyesha humuamini huku yeye katulia kuna muda atafanya kweli kwa upumbavu wako wa kutomuamini!Una point sehem flan kaka,ila ni vigumu Sana kutomfatilia kabisa mkeo.
Sasa mkuu si ndio hao vibamia auMwanamke mzuri anakuwa credited kwenye papuchi yake mkuu sio sura!Kuna demu nilimpata UDOM kwa sura nzuri sana lkn ana uke mpana sana!
Lkn kuna kadada hapa mtaani Kabaya kabaya tu lkn kana uchi unabana sana aisee!
Akija wa UDOM na huyu wa mtaani namfukuza wa UDOM
aiseeee hata kama hayanihusu.. siku ikipita we bwana umecoment bila kumtagi bibie au vice versa mi ntahama humu JFPole sana...
Inasikitisha na infurahisha sana..
Mimi binafsi na mahondaw wangu tunaelekea huko... Il Kiukweli ni challenge sana kuwa na mwanamke mzuri, mrembo Nayevutia kila mwanamke...
Namshukuru sana Mungu mahondaw wangu ni mwanamke mwenye msimamo dhabiti na madhubuti.. Hateteleki wala hashawishiki na chochote...
# Love her sana #
Cc: mahondaw
Hivi ukimwamini ndo hatatongozwa? Be serious mkuu.Kuwa na self confidence ya kutosha pia mwamini mke wako. Mwanamke yeyote lazima atongozwe haijalishi yukoje, au ameolewa/hajaolewa.
Endelea kusubiri siku akishawishika na kutetereka atakuja kukwambia.Pole sana...
Inasikitisha na infurahisha sana..
Mimi binafsi na mahondaw wangu tunaelekea huko... Il Kiukweli ni challenge sana kuwa na mwanamke mzuri, mrembo Nayevutia kila mwanamke...
Namshukuru sana Mungu mahondaw wangu ni mwanamke mwenye msimamo dhabiti na madhubuti.. Hateteleki wala hashawishiki na chochote...
# Love her sana #
Cc: mahondaw
Nimecheka sanakuoa mwanamke mzuri sana ni kama kulima miwa karibu na shule ya msingi
yaani kama hutatumia nguvu nyingi kulilinda utaliwa tu
Ubaya wako uko wapi??Mnaongea tu!!! Mbona wabaya tupo hapa na bado hamtuoi!!! Mnafuata haohao wazuri
Inategemea hiyo kumwamini umeielewaje.Hivi ukimwamini ndo hatatongozwa? Be serious mkuu.
Kumbuka kuwa hainaga ushemejiMi hili linanipa shida sana mamsap yupo so attractive sasa kwa juhudi zangu na najikuta sipendi hata kuona mtu nisiemjua tena kidume anaongea na mrembo wangu.
Ni mpenzi wa social net. Wengi wanakuja kwa gia za kirafiki huko facebook ila wanaishiaga kuomba namba na hatimae kumtongoza na nishaongea sana kuhusu hilo ila bibie anaonekana anapenda zile attention za kipuuzi nikaona sina sababu ya kuingilia uhuru wake ingawa nakereka.I've let her be...
Sikupenda hata ajiunge huko facebook ila toka ameitumia hataki kuiacha nmeamua kukaa kimya sasa maana ile hali ya ku monitor conversations zake na hao watu inapelekeaga tugombane kabisa. Mwishowe akaanza kuzifuta chats yani maana anajua nitauliza.
Najiuliza tu how can a woman be friends na wanaume wanaomtongoza then haoneshi msimamo wake mapema kuwa yupo taken, like anawaonea aibu kuwachana wtf! Ingawa hajawahi nisaliti im monitoring her moves toka kitambo ila hali yake ya kuwa exposed na washenzi wa fb inanikoseshaga raha at the end ukifikiria jinsi akili za KE yeyote zinavyoweza kurubuniwa kirahisi akavuliwa pichu.
Nilichoamua kufanya ni kutouliza natembeza block za kimya kimya tu. Whatsapp nabadilisha namba naweka za watu wangu naowajua kwa jina lile lile alosevu akianza chat nao hata kwa siri amani tu. Maana ni za washkaji zangu naowaamini na yeye shemej yao!
Ha ha ha ha
Kumbe wa kwangu nikanunue panga la kulindia. Kama unasumbuliwa na huyu, basi mimi sidhani kama nitafia December sijaaga dunia kwa BP.