four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,406
Habari za mida hii wadau,nimeona nije na uzi huu ili wale wenzangu waliobahatika kuoa wake wazuri waje na shuhuda zao pia.
Namshukuru mwenyez mungu mm ni Kati ya wale ambao hatukuwa na uvivu WA kuchagua au udomo zege WA kuwaingia warembo na hatimae nilichagua mmoja wao kuwa mwenzi wangu WA maisha.
Ni mtoto flan hv aliyejaaliwa sura na umbo zur na rangi ya choccolate,uzur huu unachangiwa pia na kuwa na asili ya Rwanda upande WA babu mzaa baba.
Pamoja na raha na faraja na pongez ambazo huwa napata kutokana na urembo WA mke wangu hasa ndugu na marafiki wanapomuona iwe moja kwa moja au ktk picha nazopost bado Kuna usumbufu mkubwa.
Usumbufu huu unatoka kwa vidume vingi visivyo na staha kwa Mali za watu,wapo watu wengi wanaojaribu kumtongoza kwa inbox za Facebook,whasap na msg za kawaida,wapo pia wale aliokuwa nao ktk mahusiano huko nyuma ambao hawaishi kuomba kupasha kiporo
Hii Hali kwakwel imekuwa kero Sana na imefikia hatua inaanza kunikosesha confidence kwamba itakuwaje iwapo Kati ya Hawa vidume wanaomsalandia atamvutia je hatochepuka?kweli kuoa mwanamke mzuri raha Lakin ni karaha pia.
Karibuni wadau mliobahatika kuoa warembo mtoe shuhuda zenu pia.