Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,412
- 191,569
Mi hili linanipa shida sana mamsap yupo so attractive sasa kwa juhudi zangu na najikuta sipendi hata kuona mtu nisiemjua tena kidume anaongea na mrembo wangu.Habari za mida hii wadau,nimeona nije na uzi huu ili wale wenzangu waliobahatika kuoa wake wazuri waje na shuhuda zao pia.
Namshukuru mwenyez mungu mm ni Kati ya wale ambao hatukuwa na uvivu WA kuchagua au udomo zege WA kuwaingia warembo na hatimae nilichagua mmoja wao kuwa mwenzi wangu WA maisha.
Ni mtoto flan hv aliyejaaliwa sura na umbo zur na rangi ya choccolate,uzur huu unachangiwa pia na kuwa na asili ya Rwanda upande WA babu mzaa baba.
Pamoja na raha na faraja na pongez ambazo huwa napata kutokana na urembo WA mke wangu hasa ndugu na marafiki wanapomuona iwe moja kwa moja au ktk picha nazopost bado Kuna usumbufu mkubwa.
Usumbufu huu unatoka kwa vidume vingi visivyo na staha kwa Mali za watu,wapo watu wengi wanaojaribu kumtongoza kwa inbox za Facebook,whasap na msg za kawaida,wapo pia wale aliokuwa nao ktk mahusiano huko nyuma ambao hawaishi kuomba kupasha kiporo
Hii Hali kwakwel imekuwa kero Sana na imefikia hatua inaanza kunikosesha confidence kwamba itakuwaje iwapo Kati ya Hawa vidume wanaomsalandia atamvutia je hatochepuka?kweli kuoa mwanamke mzuri raha Lakin ni karaha pia.
Karibuni wadau mliobahatika kuoa warembo mtoe shuhuda zenu pia.
Ni mpenzi wa social net. Wengi wanakuja kwa gia za kirafiki huko facebook ila wanaishiaga kuomba namba na hatimae kumtongoza na nishaongea sana kuhusu hilo ila bibie anaonekana anapenda zile attention za kipuuzi nikaona sina sababu ya kuingilia uhuru wake ingawa nakereka.I've let her be...
Sikupenda hata ajiunge huko facebook ila toka ameitumia hataki kuiacha nmeamua kukaa kimya sasa maana ile hali ya ku monitor conversations zake na hao watu inapelekeaga tugombane kabisa. Mwishowe akaanza kuzifuta chats yani maana anajua nitauliza.
Najiuliza tu how can a woman be friends na wanaume wanaomtongoza then haoneshi msimamo wake mapema kuwa yupo taken, like anawaonea aibu kuwachana wtf! Ingawa hajawahi nisaliti im monitoring her moves toka kitambo ila hali yake ya kuwa exposed na washenzi wa fb inanikoseshaga raha at the end ukifikiria jinsi akili za KE yeyote zinavyoweza kurubuniwa kirahisi akavuliwa pichu.
Nilichoamua kufanya ni kutouliza natembeza block za kimya kimya tu. Whatsapp nabadilisha namba naweka za watu wangu naowajua kwa jina lile lile alosevu akianza chat nao hata kwa siri amani tu. Maana ni za washkaji zangu naowaamini na yeye shemej yao!
Ha ha ha ha