Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Mvumilovu hula mbivuNimekupm kimyaaa
Mvumilovu hula mbivuNimekupm kimyaaa
Nawewe sasa ni muongo wazuri wapo wengi tu wanajieshimu si wote kwani wabaya hawatongozwi? Mboona walio olewa na wazuri wametulia kabisa? Utaacha waume zetu washindwe kufanya kazi vizuri na kushindwa kutuacha nasi tufanye kazi kwa uhuru, kisa mke mzuri wengine waume zetu wanasafiri na kutuacha na tupo vizuri bila kuchepuka wala kuwa na wazo la kuchepuka wewe oa tu ambaye kama anapuliza moto wa kuni mbichi za miembeMwanamke yeyote kwa mwanaume n sawa na mkate mbele ya chai sasa akiwa mzr ata awe na uaminifu kias gani lazima aliwe tu
Inaboa sana mkuu, acha tu!Nafikiri wanapenda Ile kutongozwa tongozwa na wanaume wengine,itakuwa Kuna raha flan wanaipata kuona bado wanatakiwa na watu wengine,labda tuongeze mahaba ili isifike wakat wakalazimika kutafuta msisimko mpya huko nje
Kwa hiyo unamanisha wale wanawake wasiotongozwa sana ni wabaya?
Kwa hiyo unamanisha wale wanawake wasiotongozwa sana ni wabaya?
We jamaa umelishwa nyama ya maku...
Si kwa uzezeta huu..
we jamaa usimjibu mtu Huyu mtu mimi Leo ndo nimetoka kwenye ban kisa.Huyu jamaa na mahonda wake nilimcotiWe jamaa umelishwa nyama ya maku...
Si kwa uzezeta huu..
Akwendree bana full zezeta[emoji23] [emoji23] [emoji23]ndio mkuu wanaotongozwa sana ni wazuri na wanaume wanaopendwa sana ni wenye pesa
we jamaa usimjibu mtu Huyu mtu mimi Leo ndo nimetoka kwenye ban kisa.Huyu jamaa na mahonda wake nilimcoti
Naomba namba yake nimpongezePole sana...
Inasikitisha na infurahisha sana..
Mimi binafsi na mahondaw wangu tunaelekea huko... Il Kiukweli ni challenge sana kuwa na mwanamke mzuri, mrembo anayevutia kila mwanaume...
Namshukuru sana Mungu mahondaw wangu ni mwanamke mwenye msimamo dhabiti na madhubuti.. Hateteleki wala hashawishiki na chochote...
# Love her sana #
Cc: mahondaw
teh teh teh inasikitisha sana na inafurahisha sana.We jamaa umelishwa nyama ya maku...
Si kwa uzezeta huu..
by Lucky dube......Lucky Dube Lyrics - It's Not EasyHabari za mida hii wadau,nimeona nije na uzi huu ili wale wenzangu waliobahatika kuoa wake wazuri waje na shuhuda zao pia.
Namshukuru mwenyez mungu mm ni Kati ya wale ambao hatukuwa na uvivu WA kuchagua au udomo zege WA kuwaingia warembo na hatimae nilichagua mmoja wao kuwa mwenzi wangu WA maisha.
Ni mtoto flan hv aliyejaaliwa sura na umbo zur na rangi ya choccolate,uzur huu unachangiwa pia na kuwa na asili ya Rwanda upande WA babu mzaa baba.
Pamoja na raha na faraja na pongez ambazo huwa napata kutokana na urembo WA mke wangu hasa ndugu na marafiki wanapomuona iwe moja kwa moja au ktk picha nazopost bado Kuna usumbufu mkubwa.
Usumbufu huu unatoka kwa vidume vingi visivyo na staha kwa Mali za watu,wapo watu wengi wanaojaribu kumtongoza kwa inbox za Facebook,whasap na msg za kawaida,wapo pia wale aliokuwa nao ktk mahusiano huko nyuma ambao hawaishi kuomba kupasha kiporo
Hii Hali kwakwel imekuwa kero Sana na imefikia hatua inaanza kunikosesha confidence kwamba itakuwaje iwapo Kati ya Hawa vidume wanaomsalandia atamvutia je hatochepuka?kweli kuoa mwanamke mzuri raha Lakin ni karaha pia.
Karibuni wadau mliobahatika kuoa warembo mtoe shuhuda zenu pia.
Mkuu wanyarwanda wanajielewa sana,,ni wazuri pia,,Habari za mida hii wadau,nimeona nije na uzi huu ili wale wenzangu waliobahatika kuoa wake wazuri waje na shuhuda zao pia.
Namshukuru mwenyez mungu mm ni Kati ya wale ambao hatukuwa na uvivu WA kuchagua au udomo zege WA kuwaingia warembo na hatimae nilichagua mmoja wao kuwa mwenzi wangu WA maisha.
Ni mtoto flan hv aliyejaaliwa sura na umbo zur na rangi ya choccolate,uzur huu unachangiwa pia na kuwa na asili ya Rwanda upande WA babu mzaa baba.
Pamoja na raha na faraja na pongez ambazo huwa napata kutokana na urembo WA mke wangu hasa ndugu na marafiki wanapomuona iwe moja kwa moja au ktk picha nazopost bado Kuna usumbufu mkubwa.
Usumbufu huu unatoka kwa vidume vingi visivyo na staha kwa Mali za watu,wapo watu wengi wanaojaribu kumtongoza kwa inbox za Facebook,whasap na msg za kawaida,wapo pia wale aliokuwa nao ktk mahusiano huko nyuma ambao hawaishi kuomba kupasha kiporo
Hii Hali kwakwel imekuwa kero Sana na imefikia hatua inaanza kunikosesha confidence kwamba itakuwaje iwapo Kati ya Hawa vidume wanaomsalandia atamvutia je hatochepuka?kweli kuoa mwanamke mzuri raha Lakin ni karaha pia.
Karibuni wadau mliobahatika kuoa warembo mtoe shuhuda zenu pia.
Pole sana...
Inasikitisha na infurahisha sana..
Mimi binafsi na mahondaw wangu tunaelekea huko... Il Kiukweli ni challenge sana kuwa na mwanamke mzuri, mrembo anayevutia kila mwanaume...
Namshukuru sana Mungu mahondaw wangu ni mwanamke mwenye msimamo dhabiti na madhubuti.. Hateteleki wala hashawishiki na chochote...
# Love her sana #
Cc: mahondaw
Huu ushauri Mzuri sana.Mkuu kupigiwa ni kawaida coz não wanatafuta adventure flani na hela kuna mijitu inahonga hadi milioni tano ili ikuonje tu so cha kufanya we potezea na simu yake usiguse we assume hagongwi utakua na amani