Raha na karaha za kuoa mwanamke mzuri

Raha na karaha za kuoa mwanamke mzuri

kuoa mwanamke mzuri sana ni kama kulima miwa karibu na shule ya msingi

yaani kama hutatumia nguvu nyingi kulilinda utaliwa tu
Hivi mkuu yule wa kwako wa JF siyo mzuri sana?[emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
d75a57dc568d6e8fc624f905963187e9.jpg

Kha! Ndo huyu. Kumbe wa kwangu nikanunue panga la kulindia. Kama unasumbuliwa na huyu, basi mimi sidhani kama nitafia December sijaaga dunia kwa BP. Kila mtu kumbe ana kilichomzuzua. Hapa sizuzuki
 
Kha! Ndo huyu. Kumbe wa kwangu nikanunue panga la kulindia. Kama unasumbuliwa na huyu, basi mimi sidhani kama nitafia December sijaaga dunia kwa BP. Kila mtu kumbe ana kilichomzuzua. Hapa sizuzuki
Beauty is subjective...and it is always in the eyes of the beholder. Always remember that and you will never appear superficial, myopic and childish!
 
Ukweli mchungu ni kuwa utasaidiwa tu. Kupunguza kiwango cha kusaidiwa. Jaribuni kuwa na hofu ya Mungu. Hicho pekee ndo kinaweza kukusaidia. Jitahidi kumfanya ajue uwepo wa Mungu na dhambi na imuingie kweli kweli.
 
Pole sana...
Inasikitisha na infurahisha sana..

Mimi binafsi na mahondaw wangu tunaelekea huko... Il Kiukweli ni challenge sana kuwa na mwanamke mzuri, mrembo Nayevutia kila mwanamke...


Namshukuru sana Mungu mahondaw wangu ni mwanamke mwenye msimamo dhabiti na madhubuti.. Hateteleki wala hashawishiki na chochote...


# Love her sana #


Cc: mahondaw

Love you more Smart911 swirly

Hakuna cha ziada cha kunishawishi
Smart911 wangu umebarikiwa kwa kila kitu... everything yani

Thank God
 
Back
Top Bottom