Raha na karaha za kuoa mwanamke mzuri

Raha na karaha za kuoa mwanamke mzuri

Mwanamke/mwanaume mzuri ni yule asiekupa presha ya kutoka nje ya ndoa yake.

Mwanamke/mwanaume mzuri ni yule anaejali hisia zako.

Mwanamke /mwanaume mzuri ni yule mwenye kumcha Allah siku zote.

Mvunilivu na msikivu.

Mwenye kujitambua thamani yake na thamani ya mwenzie.


Hizo ndio sifa za mwanamke/mwanaume astahiliye kuitwa mume/mke .

Sura na maumbile sio sifa za kuingilia bali ni sifa za ziada.


Mwanamke/mwanaume kama atakosa sifa ya kumpenda Mungu, upendo, kujitambua, uaminifu, busara ,huyo hafai.

Maumbile ni wakati wa ngono tu thamani yake.
 
Mwanamke yeyote kwa mwanaume n sawa na mkate mbele ya chai sasa akiwa mzr ata awe na uaminifu kias gani lazima aliwe tu
 
Habari za mida hii wadau,nimeona nije na uzi huu ili wale wenzangu waliobahatika kuoa wake wazuri waje na shuhuda zao pia.

Namshukuru mwenyez mungu mm ni Kati ya wale ambao hatukuwa na uvivu WA kuchagua au udomo zege WA kuwaingia warembo na hatimae nilichagua mmoja wao kuwa mwenzi wangu WA maisha.

Ni mtoto flan hv aliyejaaliwa sura na umbo zur na rangi ya choccolate,uzur huu unachangiwa pia na kuwa na asili ya Rwanda upande WA babu mzaa baba.

Pamoja na raha na faraja na pongez ambazo huwa napata kutokana na urembo WA mke wangu hasa ndugu na marafiki wanapomuona iwe moja kwa moja au ktk picha nazopost bado Kuna usumbufu mkubwa.

Usumbufu huu unatoka kwa vidume vingi visivyo na staha kwa Mali za watu,wapo watu wengi wanaojaribu kumtongoza kwa inbox za Facebook,whasap na msg za kawaida,wapo pia wale aliokuwa nao ktk mahusiano huko nyuma ambao hawaishi kuomba kupasha kiporo

Hii Hali kwakwel imekuwa kero Sana na imefikia hatua inaanza kunikosesha confidence kwamba itakuwaje iwapo Kati ya Hawa vidume wanaomsalandia atamvutia je hatochepuka?kweli kuoa mwanamke mzuri raha Lakin ni karaha pia.

Karibuni wadau mliobahatika kuoa warembo mtoe shuhuda zenu pia.
hawana tofauti na shamba la viazi kwenye msitu wenye nyani😀😀😀
 
Mkuu kupigiwa ni kawaida coz não wanatafuta adventure flani na hela kuna mijitu inahonga hadi milioni tano ili ikuonje tu so cha kufanya we potezea na simu yake usiguse we assume hagongwi utakua na amani
safi sana ndio maana hua nikisoma karma au golden rule hua nachukulia poa tu ilimradi asionionyeshe anagongwa afanye kwa kificho kama mie ninavofanya
 
Uzuri upo kwenye jicho la mtazamaji, haupo kwa mwanamke/mwanamme.

Maana yake, unayemuona mzuri wewe, mwingine atamuona wa kawaida au hata mbaya.

Na unayemuona mbaya wewe, mwingine atamuona wa kawaida au hata mbaya.

Ndiyo maana hata King Kong alichill na demu wake

29f7c5ac2fbfa584d8c5288187dab02d.jpg
 
Mkuu jiandani mambo Mawili kujiua Kwa wivu au ataliwa Na mwenye ukimwi atakuletea
 
Back
Top Bottom