Rafki Zako Vipenzi Wanapogeuka Your Worst Nightmare!!!!!!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,209
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Marafiki ni watu tunaokutana nao tu katika hustles za kimaisha, mashuleni, makazini na kitaa. Ni watu mnakutana mnapendana kuliko hata ndugu, you make a bond na mnakuwa mnafurahia maisha pamoja kwa wakati huo, kutiana moyo inapobidi na kusaidiana kwa hali na mali inoder to make the world a better place to live in.

Fact is most friendships dont stand the taste of time. Ngoma inogile pale mmoja anapopata/kubarikiwa mafanikio kichumi na kuanza kuwaona wengine sio class yake au habelong nao tena flano hivi. Hii inakuwa maybe ameenda chuo au kapata kazi la maana, anaona kama washkaji wanamuaibisha flani hivi! Daaaaaaaah! Kwa yule alie endelea its all cool, na its a necessary step ili afaniiwe zaidi na nini inabidi awe na wale wanao share vision yake design flani hivi.

Kimbembe kwa sie tunaoachwa!!!!!!!! Daaaaaaaaah! Roho inaumaje sasa, betrayal ya mtu wenu wa karibu inaumizaje nafsi sasa! Daaaaah! Acha tu! But such is life bana! Life has to go on kwa wote aliyabrikiwa na sie tuliedoda.

20 kids cant be fiends forever, there are friends of life and friends of time! Sometimes someone has to outgrow true friends, to climb the top of the leadder! Ili mtu afanikiwe zaidi kimaisha inabidi ndo awaache wadau wengine lasivo aakuwa hatoki kimaisha watamng'ang'ania kwenye Vicious Cycle of Poverty.

Its a fact kuwa God writes every one's destiny. Na aliepewa kapewa! Wengine tuliokosa ndo baaaas tena hatuna cha kumfanya. Zaidi ni kumuomba mola abless hustles zetu na sisi tutoke huko mbeleni. Ila inauma sanaaa mtu umemjua for years ana kutreat like a stranger. Like he doesnt know shit about you. Like you dont matter at all????????? Really? Chinekeeeeeeeee!

Kinchosikitisha ni ile tabu tunayoipata sisi ambao hatujatoka maana unajua sasa Mshakaji alietoka lazima ile aku embarase na nini, so to save ya self from embarasemnt ndo unakuwa inakubidi umkwepe design flani hivi. Kama unaona anakuja kule mbele unavuka barabara au unazama shop kuzuga tu. Ndo nightmare yenyewe hiyo. Anafanya party hakualiki sasa unawakkwepa watu watakaokuuliza mbona hukuwepo kwa party?

Yaani kuna mdau mmoja alikuwa mtu wangu sanaaaa, na tumepitia mengi sanaaa! Ila tabia yake ya kunitreat like she doesnt know me kabisaaa, ama like a stranger inanikwaza sanaaaa! N mimi unafiki siupendi kabisaaa, basi napataje tabu kumkwepa? Nilijipendekezaga ikawa too much, ikabidi nili retaliate na mimi. Daaaaaaaaaah! God bless my hustles ooooooooh! Make me no be small small somebody in dis town ooooooh! for my friend like her me na earn back their respect!

Watu wa hivi wapo sanaaa katika maisha! Bora Fid Q aliimba Sihitaji Marafiki!!!!!!!!!!
 
pole mwaya!
nazijua sana hizo!
unakutana na unaaaanza kujitambuliiiiiisha oh unajua mi si ndio yuleeee yani ushansahau!
anakupiga 'ok'huku kafunguo ka vogue sijui gari gani anahakikisha unakaona!
mweh! bandughuu!
 
Hahahahahahaha
hii muda mwingine inatokea sana na wengi wao huwa ni wasichana ndio huwafanyia wenzao hivi ukilinganisha na wanaume!

Pengine mtu anaye kufanyia hivi hakuwa rafiki wa kweli pengine kwa sababu hakuwa na pesa tuu ndio maana hulishindwa kumjua kama unavyo jua ni rahisi kumchunguza mbwa kuliko binadamu! Kuna watu wansema ukitaka kujua tabia halisi ya mtu subiri apate pesa!

Kuna watu wakibadilisha tuu makazi hata kukusalimia hawakusalimii tena.
 
take it easy and live your life babyto,wengine huwa wanahisi utamkopa au kumwelezea matatizo yako wakati hata huna mpango.
 
Yani hii ni mbaya sana bora anavyo mkimbia tuu maana watu wa namna hiyo naweza kukwambia umenifananisha si mimi!
Kuna rafiki yangu ili mkuta kama hii yani alikutana pale ubunge na mdada walisoma nae secondary sasa jamaa akamkumbuka si ndio akamfata kumsalimia yule dada akamwambia umenifananisha. Jamaa alisema aliondoka kwa aibu na alijuta kumuita na tena alimuita hadi jina, yani jamaa alikuwa ana niadithia anasema alisikia aibu na alijuta!

Ndio maana muda mwingine watu wanachuniana kuepuka fedheha na kuonekana unajipendekeza!

pole mwaya!
nazijua sana hizo!
unakutana na unaaaanza kujitambuliiiiiisha oh unajua mi si ndio yuleeee yani ushansahau!
anakupiga 'ok'huku kafunguo ka vogue sijui gari gani anahakikisha unakaona!
mweh! bandughuu!
 
hii inatokea sana lakini niligundua kitu kimoja maishani.
When someone looses or turns into a looser, yeye ndiye uwa anaanza wa avoid wenzake sometimes wale ambao wangemsaidia kwakuwa anaanza kuhisi wanamcheka au hayuko tena level moja nao.
Ataanza kuwakimbia kumbe mara nyingine hata hawamcheki au angeomba msaada anagepewa.
Ni kawaida mtu bingo ikikutembelea lazima ubadili mfumo wa maisha, kama ulikuwa umezoea kaa kijiweni unakunywa kahawa jioni utaacha utaanza enda sehemu zenye hadhi, kama ulikuwa umezoea kula kwa mama ntilie utahamia kwa dada jaydee, kama shopping ilikuwa karume utahamia mr price na kwingineko. Sasa wale watu uliokuwa unakutana nao kwenye kijiwe cha kahawa wataanza kusema ooh unaringa ooh unawakimbia wanasahau kuwa life changes.
Kuna jamaa aliniambia kuna formula ya kuita pesa, ili pesa ikutembelee inabidi uvae, utembee na uishi kama mwenye pesa otherwise itakukimbia.

Note: in life no body stands for a losser, so keep in mind that you never loose always be a champion. There is only a simple formula of being a champion. 'Never loose.'
 
From. My experience mara nyingi mtu aliefanikiwa ndio ana maadui wengi .ukiona watu wanamsema mtu sana ujue wanajaribu Kum define wanavyotaka Wao.mimi hapa USA niliwaleta marafiki kibao kuangaikia 120 m
 
From. My experience mara nyingi mtu aliefanikiwa ndio ana maadui wengi .ukiona watu wanamsema mtu sana ujue wanajaribu Kum define wanavyotaka Wao.mimi hapa USA niliwaleta marafiki kibao kuangaikia 120 mpaka admission .wakija tu nikiwakaribisha Kwangu wana nuna wanavaa vitu vyangu Kama nikitoka yaani kuna mmoja alinitilia mchanga Kwenye gari .mwingine akawa anampigia mzazi wangu bongo Eti Mimi sijui hivi vile.Nimejifunza mno .Nilivyoolewa oh ndoa haitodumu mara wengine wampigie mume wangu simu oh mie malaya balaa tupu wabongo ,Mara mzazi wangu anapenda watoto wadogo Huko Tanzania .mara Yule anamchuna mzungu .Nyooo mume Bado ninaye na maisha yanaendelea mtoto wa 4 njiani.Oh mzazi wake fisadi wewe unamjua mbuzi wewe .Sitaki wabongo wala nini waende zao
 
Naona ndo walewale.

Sikujua kuwa upo USA na umeolewa na mdhungu, baba yako fisadi
 
Mi nadhani kuna kujinyanyapaa zaidi ya kubaguliwa. Ni mindset tu. Rafiki yangu akinunua gari ya maana namfurahia kwa kweli na na-gasp mbele yake. Tena tumezoeshana kurushana roho. Jana tu nimeambiwa na shosti 'guess who has a cheque for 5,000 €?' im just happy for her. Nina marafiki wasiofanikiwa tumetoka nao hukooo na tukikutana tunacheka about old times hadi machozi. Ofcoz labda kuna wachache waliojidropisha ama kunidrop kwa kutokuwa class yao but do i care? Urafiki ni kustuana na kupeana challenges ukizingatia siku hizi know-who inahusika kwa sana.
 
From. My experience mara nyingi mtu aliefanikiwa ndio ana maadui wengi .ukiona watu wanamsema mtu sana ujue wanajaribu Kum define wanavyotaka Wao.mimi hapa USA niliwaleta marafiki kibao kuangaikia 120 mpaka admission .wakija tu nikiwakaribisha Kwangu wana nuna wanavaa vitu vyangu Kama nikitoka yaani kuna mmoja alinitilia mchanga Kwenye gari .mwingine akawa anampigia mzazi wangu bongo Eti Mimi sijui hivi vile.Nimejifunza mno .Nilivyoolewa oh ndoa haitodumu mara wengine wampigie mume wangu simu oh mie malaya balaa tupu wabongo ,Mara mzazi wangu anapenda watoto wadogo Huko Tanzania .mara Yule anamchuna mzungu .Nyooo mume Bado ninaye na maisha yanaendelea mtoto wa 4 njiani.Oh mzazi wake fisadi wewe unamjua mbuzi wewe .Sitaki wabongo wala nini waende zao
oh nat!
nilimiss hiz swag ujue!
cc Ruttashobolwa, mwaJ BADILI TABIA King'asti Kongosho et al
 
Last edited by a moderator:
Mi nadhani kuna kujinyanyapaa zaidi ya kubaguliwa. Ni mindset tu. Rafiki yangu akinunua gari ya maana namfurahia kwa kweli na na-gasp mbele yake. Tena tumezoeshana kurushana roho. Jana tu nimeambiwa na shosti 'guess who has a cheque for 5,000 €?' im just happy for her. Nina marafiki wasiofanikiwa tumetoka nao hukooo na tukikutana tunacheka about old times hadi machozi. Ofcoz labda kuna wachache waliojidropisha ama kunidrop kwa kutokuwa class yao but do i care? Urafiki ni kustuana na kupeana challenges ukizingatia siku hizi know-who inahusika kwa sana.
mimi nilishagundua katika wanawake ,tupo wa aina mbili ,wanawake wanaopenda bwerereee yaani wapo kuchuna kila kiumbe kilicho mbele zake...sasa hawa kwa vile una kitu atajifanya kujipendekeza kwako ili afaidi...hana cha kukushauri ,hakuombei mazuri wala nini?
wapo wale ambao yaani ni friend wako kiukweli na hawa mostly mnakuwa mmeanzia utotoni .. hawa mashosti tunaokutana kwenye vibao kata ni utata mtupu!wanataka wakuchune wewe,wamchune mpenzi wako
chezeiya wadada wa mujini wewe
 
Daaa mi kuhusu marafiki nishafuta, nimesaidia sn mara marafiki zang nlipokua chuoni na kale ka mkopo kangu wenyewe walikua hawana, basi nlivomaliza nikapata geto washkaji wakija fatilia vyeti chuo hawana mia daa mi nawapa malazi na nauli make nlikua na kibarua kidogo wenyewe wapo mtaani,.

Rafki zangu hawa walipopata kazi bahati mbaya mi kibarua kilisha yani hata sim waligoma kupokea,. Mungu mkubwa kwasasa nimepata kazi namie,.

Namba zao nishazifuta,. Hakuna urafiki vijana wa kisasas zaidi ni maslahi mbele ba sihitaji kabisa rafiki
 
watu wanafiki sana. pole sana
 
hii inatokea sana lakini niligundua kitu kimoja maishani.
When someone looses or turns into a looser, yeye ndiye uwa anaanza wa avoid wenzake sometimes wale ambao wangemsaidia kwakuwa anaanza kuhisi wanamcheka au hayuko tena level moja nao.
Ataanza kuwakimbia kumbe mara nyingine hata hawamcheki au angeomba msaada anagepewa.
Ni kawaida mtu bingo ikikutembelea lazima ubadili mfumo wa maisha, kama ulikuwa umezoea kaa kijiweni unakunywa kahawa jioni utaacha utaanza enda sehemu zenye hadhi, kama ulikuwa umezoea kula kwa mama ntilie utahamia kwa dada jaydee, kama shopping ilikuwa karume utahamia mr price na kwingineko. Sasa wale watu uliokuwa unakutana nao kwenye kijiwe cha kahawa wataanza kusema ooh unaringa ooh unawakimbia wanasahau kuwa life changes.
Kuna jamaa aliniambia kuna formula ya kuita pesa, ili pesa ikutembelee inabidi uvae, utembee na uishi kama mwenye pesa otherwise itakukimbia.

Note: in life no body stands for a losser, so keep in mind that you never loose always be a champion. There is only a simple formula of being a champion. 'Never loose.'

Hahaaaaaaaaaa! Ananipotezea coz mimi najua chanzo cha mafanikio yake. She is lying to her new so called friends that she belongs there na nini so sisi tunaomjua A to Z tunageuka liability! Tunaweza kuuza CD kwa hao friends wapya ndo elimination method inatukumba.
 
Daaa mi kuhusu marafiki nishafuta, nimesaidia sn mara marafiki zang nlipokua chuoni na kale ka mkopo kangu wenyewe walikua hawana, basi nlivomaliza nikapata geto washkaji wakija fatilia vyeti chuo hawana mia daa mi nawapa malazi na nauli make nlikua na kibarua kidogo wenyewe wapo mtaani,.

Rafki zangu hawa walipopata kazi bahati mbaya mi kibarua kilisha yani hata sim waligoma kupokea,. Mungu mkubwa kwasasa nimepata kazi namie,.

Namba zao nishazifuta,. Hakuna urafiki vijana wa kisasas zaidi ni maslahi mbele ba sihitaji kabisa rafiki

Kwa kweli! Kuliko uinvest kwa binadamu bora uinvest bar tu uongeze mazoezi ya kibofu na ini kuchuja sumu.
 
Mi nadhani kuna kujinyanyapaa zaidi ya kubaguliwa. Ni mindset tu. Rafiki yangu akinunua gari ya maana namfurahia kwa kweli na na-gasp mbele yake. Tena tumezoeshana kurushana roho. Jana tu nimeambiwa na shosti 'guess who has a cheque for 5,000 €?' im just happy for her. Nina marafiki wasiofanikiwa tumetoka nao hukooo na tukikutana tunacheka about old times hadi machozi. Ofcoz labda kuna wachache waliojidropisha ama kunidrop kwa kutokuwa class yao but do i care? Urafiki ni kustuana na kupeana challenges ukizingatia siku hizi know-who inahusika kwa sana.

Wala sio mindset! Ni mtu tu anaanza kukukwepa, mara ukimpigia hapokei, akikuta missed habeep, ukimwambia nije nikusalime anajibu nimetokaa sipo, yaani unaona kabisaaa HUTAKIWI!!!!!!!!!! Mkikutana sehemu anajifanya she has nothin to say to you! Wewe ndo uanzishe maongezi na kulead comversation yeye anajibu short n clear tu.

Ila dunia duara wakifuliaga wanaanza kupiga simu upyaaaaaaaa! Na kujifanya they have a lot to talk about.
 
kawaida sasa umebugi y ajipotezee muda kukaa nawe....

Hahahaaaaaaaa Mazabzab ujue mimi sijaamua tu kukasirika na kumrudisha kwenye vicious cycle of poverty! Nikitaka kumkomoa na post picha za rede la vumbi na chupi za taiwan, udongo hadi kichwani afu namtag Facebook, au za uniform za Kayumba. Yeye siku hizi si anadai alizaliwa Upanga East na nini wakati kazaliwa Migomigo. Nauza CD Facebook.

Ila unamuacha tu, tuone atafika wapi! Mnachokera watu design hii Mkifilisika wa kwanza kurudi kutulamba miguu na kuomba yaishe! Urafiki wa zamani urudi shetani alikupitia.

Mimi huwaga sisamehi wala sisahau coz i dont see the logic. Salama yako baki huko huko juuu!.
 
Back
Top Bottom