snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,328
heheheheh chezea muke ya dokta wewe
sijitaki!
kitu mtoto wa nne njiani mchezo!
ahahahahhahhaha lazima mashosti wachore sana mawingu!
heheheheh chezea muke ya dokta wewe
"urafiki" ni kitu kigumu/cha ajabu sana, kuna hii, enzi hizo nikiwa mchumba wa msukuma, nilikuwa na group la marafiki kama 8, nilikuwa nawapenda rafiki zangu sana sana,najitoa kwenye shida/raha zao sana tu, katika vitu nilivyokuwa nakwaruzana nao wengi wao ni ile kutoka kuja kuniambia snowhite hivi vile lazima nikushushue mana ungempelekea hizo ishuz mwenyewe, kukatisha story tulikuja kuleteana wenge la kufa mtu, hii ni kutokana na wivu wa kike/chuki/roho mbaya, unaweza kumtafuta mchumba wa mtu na kumpa habari za uongo kuhusu mchumba wake ili mradi umkomoe nyamayao anajidai kisa kapata "mchumba", "anajidai ana visenti" (walikalisha makalio chini kiswahili wanaishilizia zogo mie mtoto wa kichaga nimetumwa pesa, nyanya/vitumbua nachoma tu") kisa kitu gani? tumelumbana? na chokochoko walinzianza baadhi mie nikafanya kuzimalizia tu? duuu nilikuwa kwenye wakati mgumu kishenzi, hapo nahesabu siku za kuingia altareni yanazuka ya kuzuka, niliwamwaga kama sina akili zuri nikapambania uhusiano wangu mbaya kabisa kikaeleweka, katika hao wawili ndio walikuwa upande wangu kwa moyo mmoja, mpaka leo ni ndugu zangu haswaaa, wanipambania haswaa, wale wengine waligeuka adui zangu wa kufa mtu, na nyamayao nina kisasi sana sana,(mpaka nikusamehe sijui inakuwaje, Mungu alinipa moyo mgumu juu ya kusamehe) mie bila kulipiza kisasi ntaumwa, baada ya ndoa nilimalizana nao kimjini mjini vizuri haswaaa, sasa hivi ndio wanajirudi wanajifanya ooohh aahhhh, binadamu anasamehe, jamani tukalishwe na nyamayao tuyamalize, nyamayao mie? mxsiii, nilipata funzo haswaaaa,na juu ya hayo binadamu ukikesha kwa majungu/wivu/chokochoko kwa wenzio ni kwamba Mungu hakubariki hata chembe, utakesha na kulalama hujibiwi maombi yako kumbe unasali ukifikiria kumkomoa nyamayao utakapojibiwa sala zako,Mungu avai kaptula hajibu maombi ya hivi!
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Marafiki ni watu tunaokutana nao tu katika hustles za kimaisha, mashuleni, makazini na kitaa. Ni watu mnakutana mnapendana kuliko hata ndugu, you make a bond na mnakuwa mnafurahia maisha pamoja kwa wakati huo, kutiana moyo inapobidi na kusaidiana kwa hali na mali inoder to make the world a better place to live in.
Fact is most friendships dont stand the taste of time. Ngoma inogile pale mmoja anapopata/kubarikiwa mafanikio kichumi na kuanza kuwaona wengine sio class yake au habelong nao tena flano hivi. Hii inakuwa maybe ameenda chuo au kapata kazi la maana, anaona kama washkaji wanamuaibisha flani hivi! Daaaaaaaah! Kwa yule alie endelea its all cool, na its a necessary step ili afaniiwe zaidi na nini inabidi awe na wale wanao share vision yake design flani hivi.
Kimbembe kwa sie tunaoachwa!!!!!!!! Daaaaaaaaah! Roho inaumaje sasa, betrayal ya mtu wenu wa karibu inaumizaje nafsi sasa! Daaaaah! Acha tu! But such is life bana! Life has to go on kwa wote aliyabrikiwa na sie tuliedoda.
20 kids cant be fiends forever, there are friends of life and friends of time! Sometimes someone has to outgrow true friends, to climb the top of the leadder! Ili mtu afanikiwe zaidi kimaisha inabidi ndo awaache wadau wengine lasivo aakuwa hatoki kimaisha watamng'ang'ania kwenye Vicious Cycle of Poverty.
Its a fact kuwa God writes every one's destiny. Na aliepewa kapewa! Wengine tuliokosa ndo baaaas tena hatuna cha kumfanya. Zaidi ni kumuomba mola abless hustles zetu na sisi tutoke huko mbeleni. Ila inauma sanaaa mtu umemjua for years ana kutreat like a stranger. Like he doesnt know shit about you. Like you dont matter at all????????? Really? Chinekeeeeeeeee!
Kinchosikitisha ni ile tabu tunayoipata sisi ambao hatujatoka maana unajua sasa Mshakaji alietoka lazima ile aku embarase na nini, so to save ya self from embarasemnt ndo unakuwa inakubidi umkwepe design flani hivi. Kama unaona anakuja kule mbele unavuka barabara au unazama shop kuzuga tu. Ndo nightmare yenyewe hiyo. Anafanya party hakualiki sasa unawakkwepa watu watakaokuuliza mbona hukuwepo kwa party?
Yaani kuna mdau mmoja alikuwa mtu wangu sanaaaa, na tumepitia mengi sanaaa! Ila tabia yake ya kunitreat like she doesnt know me kabisaaa, ama like a stranger inanikwaza sanaaaa! N mimi unafiki siupendi kabisaaa, basi napataje tabu kumkwepa? Nilijipendekezaga ikawa too much, ikabidi nili retaliate na mimi. Daaaaaaaaaah! God bless my hustles ooooooooh! Make me no be small small somebody in dis town ooooooh! for my friend like her me na earn back their respect!
Watu wa hivi wapo sanaaa katika maisha! Bora Fid Q aliimba Sihitaji Marafiki!!!!!!!!!!

Mimi huwa sipendi mtu anayewadharau wenzie kwa kuwa yeye ametoka kimaisha..Hata humu Jf kuna baadhi wana maneno sana ya dharau mingi..