lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,209
- Thread starter
- #21
hii inatokea sana lakini niligundua kitu kimoja maishani.
When someone looses or turns into a looser, yeye ndiye uwa anaanza wa avoid wenzake sometimes wale ambao wangemsaidia kwakuwa anaanza kuhisi wanamcheka au hayuko tena level moja nao.
Ataanza kuwakimbia kumbe mara nyingine hata hawamcheki au angeomba msaada anagepewa.
Ni kawaida mtu bingo ikikutembelea lazima ubadili mfumo wa maisha, kama ulikuwa umezoea kaa kijiweni unakunywa kahawa jioni utaacha utaanza enda sehemu zenye hadhi, kama ulikuwa umezoea kula kwa mama ntilie utahamia kwa dada jaydee, kama shopping ilikuwa karume utahamia mr price na kwingineko. Sasa wale watu uliokuwa unakutana nao kwenye kijiwe cha kahawa wataanza kusema ooh unaringa ooh unawakimbia wanasahau kuwa life changes.
Kuna jamaa aliniambia kuna formula ya kuita pesa, ili pesa ikutembelee inabidi uvae, utembee na uishi kama mwenye pesa otherwise itakukimbia.
Note: in life no body stands for a losser, so keep in mind that you never loose always be a champion. There is only a simple formula of being a champion. 'Never loose.'
Hahahaaaaaaaaa! Uchampion unatofautiana baba! Wewe unaweza kuwa uko Bank au kitengo unalamba 3m unajiona uko juu vibaya ila wale wenzangu wa Kino wapima sembe wanakuona Pimbi tu, 3M ni hela ya mauzo ya masaa tu. Na ni hela ya kwenda Masters kunywa na kufanya kufuru masaa kadhaa tu, hata casino haitoshi.
Kwenye maisha madaraja hayaishi champion kwa watu wengine ni ---- tu kwa watu wengine. Kila mtu ana wababe wake na wanyonge wake.