King of REACTIONS
JF-Expert Member
- Oct 6, 2026
- 541
- 725
Ewe min -me niombee radhi kwa rafiki yako nami niwe mmoja wa rafiki zakeSidhani 😅
Ewe min -me niombee radhi kwa rafiki yako nami niwe mmoja wa rafiki zakeSidhani 😅
Basi fanya hivyo bwashee, na niweze pata mrejesho.. Haiwezekani kabisa Seran anichukie mileleHahhaha sawa mkuu , sisi sote ni ndugu tu hakuna haja ya kinyongo😅
Nasoma biblia hapa , kitabu cha Daniel 😅
Wali Linda sana mgongo yao lakini ilishindikana 🐸🐸Simba nguvu moja💪
Lile lile Lee lebase moto🤣Wali Linda sana mgongo yao lakini ilishindikana 🐸🐸 View attachment 3688314
hahaWahenga hawana lolote , kwanza walikua na chawa🤣
This is Simba brotherSimba tamu🤣 zambi za Dumbia nipewe mimi bwashee