Hivi ni mamsii au ni jombaa?Huu ushindi uende kwa rafiki yangu wa ukweli Seran 😅
Huyu mwana namuelewa mno , langu lake lake langu , one love asee💪
Simba nguvu moja🤣🤣
Hapana hapa yeye ananunua tuu.Waaarabu wa pemba hujuana kwa viremba, kumbe seran nae ni mtu wa tungi
Ahaa mnama utakuwa ushakaa hapo meku leka ningulekee maomiKatoto kalaini kabisa mnama😅
JombiiHivi ni mamsii au ni jombaa?
Ulijua wa niniWaaarabu wa pemba hujuana kwa viremba, kumbe seran nae ni mtu wa tungi
Kumbeee🤣🤣Hapana hapa yeye ananunua tuu.