Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

unapomngata mwezio unamsababishia tetenasi ugonjwa hatari

fanya hima ukamtibu,vinginevyo una kosa la jinai kama atapataa maafa
 
Mkuu mimi iliwahi nitokea zamanii sana na alikuwa ni best yangu. Ila sikupigana bali nilibadili gia nikawa manzi nakula ila namchukulia kama malaya mpaka nilivyo pata mwingine ndo tukaachana.

Cha ajabuu na yule hawakudumu hata kidogo.

Wewe kama jamaa ni muelewa angekaa muonge na wapi ilianzia hadi kufikia huko.
best advice on this thread.
 
Hivi kweli ktk dunia ilio jaa wasichana wazuri wa kila Aina bado watu wanagombania mwanamke,,? Jaman hata Mungu anatushangaa. Kuweni kama Mzee Mkapa alie tufundisha ni ujinga kugombana kisa mwanamke
 
I guess kwa hili ndio umeamua kunywa sumu, sad.
Watoto wetu siku hizi hatuwapi malezi, tunawasukumia mashuleni tuu wakafaulu mitihani wapate As, division1, first class tukifikiri hayo ndio maisha. Siku hizi hakuna jando na unyago, baba busy, mama busy, watoto busy kama sio na boarding school basi na tv, sim na housegirl
Vijana wetu hawana study za maisha, hawana uzoefu wanaiga mfumo wa maisha kwa vijana wa nchi zinazoambiwa ndio nchi zilizoendelea, zisizokua hata na misingi ya familia ilihali wao wako Africa. Matokeo yake ndio haya......
Wazazi tuamke tutafakari tuone cha kufanya

RIP kijana wetu
 
Kwanza nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniponya na hili janga weekend iliyopita. Mimi Kama kijana nipende kuwashauri vijana wenzangu kuwa waache pombe japo ni ngumu sana.

Weekend nilikuwa viwanja fulani nikipata K-Vant na kitimoto kwa vile huwa kuna nyingine naacha ndani basi nilikunywa kidogo tu. Halafu nikasepa geto kupiga mdogo mdogo.

Sasa kipindi nafika geto nikashangaa masela niliyopanga nao wanaanza kucheka sana. Nikauliza shida nini? Moja akajibu kwa kejeli sana kuwa unaenda kulewa wakati demu wako analiwa na mshikaji wa hapa hapa. Bila kuhoji nikachukua siraha nikaenda kusimama kwa mlango wa mshikaji. Aisee nikajaribu kufungua but alikuwa kafunga.

Nikampigia Dem sim nikamuulza upo wapi saiv? "Akanijibu kwani wewe inakuhusu nini" duh! Niliumia sana but ningefanyeje? Nikamwandikia sms ya kumtusi akanirudishia inasema "unalazimisha mapenzi na Mimi sikupendi" Niliumia.

Basi nikapiga fujo pale mpaka watu wakajaa make mtaa wetu Ni Kama uswahilini vile. Wakanishauri mpaka nikatupa zile siraha nilizokuwa nimeshikilia. Ilikuwa kisu, rungu na panga. Aisee baada ya kuzitupa msikaji katoka anajiropokesha na Mimi nilikuwa tungu sana. Nilimuotea ngumi ya shavu mpaka nikaona anatema memo. Akanikaba mpaka chini make nilikuwa nimekunywa pombe nyingi sana. Nikaona anaweza kunioshea sana nikabahatisha nyama ya kung'ata bana aise nimemng'ata mpaka nikatoa nyama.

Vita ilikuwa Kali sana ila sikuumia hata kidogo lkn mpinzani wangu nimemjeruhi sana sana nilipoona atanizidi nguvu nikatumia meno. Kuna kidole chake nikila chite. Na sehemu ya zingine mpaka kaenda kuoshwa hospital. Hapa najua muda wowote naweza kuitwa KITUO CHA POLICE
Sema nini jamaa alikupiga Sana but kwa vile ulikuwa upo tungi ndo maana haukuhisi chochote
 
Mkuu demu wako upo nae au mmeshaachana.
 
Nim
Rest in peace young, heri hata ungekuja kuomba ushauri kwa wakubwa, hata kama tusingekupa pesa tungekupa uzoefu ambao ungekujenga

Nimeumiaa sana 💔💔💔💔💔💔💔💔
Nimesikitika kweli,ila ma D kuna mahali ulimjibu vizuri,kikubwa kabisa,shukrani ingawa hakunusurika ule ushauri waweza saidia wengine
 
Back
Top Bottom