Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

Yupo online inawezekana huko kuzimu network ipo fresh tu. Rip #Umomi
 
Nim
Nimesikitika kweli,ila ma D kuna mahali ulimjibu vizuri,kikubwa kabisa,shukrani ingawa hakunusurika ule ushauri waweza saidia wengine
Dogo kaniumiza sana mimi kama mama mwenye watoto wa kiume na kwa kike.
Atakua alipata msongo wa mawazo na hakua na mtu wa kumsikiliza. Anaonekana kuwa smart japo alikua na utoto mwingi, na pengine angefanikiwa kumaliza hii hatua ya makuzi angekua msaada mkubwa kwa jamii yetu
 
To be honest,Jamii forum inaweza kuwa imechangia kifo,maana aliandika huku ili kupata relief ya moyo lakini watu bila kujua nia na dhumuni la mtu kuandika humu,watu wanaanza kuponda,tujifunze kutohukumu bila kujua mtu anajisikia vipi au lengo la mtu kuja jamvini na mada yake.
 
Mungu amlaze anapostahili. Ila nimeona members tuliopata taarifa za vifo vyao hapa, utagundua walikuwa na msongo wa mawazo na upweke. Post zao zinaelwza sana kuhusu wao.
 
Watoto wetu siku hizi hatuwapi malezi, tunawasukumia mashuleni tuu wakafaulu mitihani wapate As, division1, first class tukifikiri hayo ndio maisha. Siku hizi hakuna jando na unyago, baba busy, mama busy, watoto busy kama sio na boarding school basi na tv, sim na housegirl
Vijana wetu hawana study za maisha, hawana uzoefu wanaiga mfumo wa maisha kwa vijana wa nchi zinazoambiwa ndio nchi zilizoendelea, zisizokua hata na misingi ya familia ilihali wao wako Africa. Matokeo yake ndio haya......
Wazazi tuamke tutafakari tuone cha kufanya

RIP kijana wetu
Umenena vema.
Ni vema wazazi tukabadilisha mfumo wa maisha ili watoto wetu wajifunze maisha.
 
To be honest,Jamii forum inaweza kuwa imechangia kifo,maana aliandika huku ili kupata relief ya moyo lakini watu bila kujua nia na dhumuni la mtu kuandika humu,watu wanaanza kuponda,tujifunze kutohukumu bila kujua mtu anajisikia vipi au lengo la mtu kuja jamvini na mada yake.
Kweliii aiseee
 
Alipewa ushauri mzuri tu hata kama ulitolewa kwa mzaha au kebehi. Kauliwa na utoto. Kafanya kosa la kushambulia, halafu kakimbia mafichoni, pengine kaona kifo ndio njia ya kujiokoa.
 
Rest in peace young, heri hata ungekuja kuomba ushauri kwa wakubwa, hata kama tusingekupa pesa tungekupa uzoefu ambao ungekujenga

Nimeumiaa sana [emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Mama D nawe hawa vijana unaamini kweli
Don't west ur tym mkuu
Mwache afe tuu
Sii kwa ujinga huu
Yawezekana aliyeleta taarifa ya kifo ni huyo huyo mtoa mada
 
Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu nzuri... Rudia paragraph za juu linganisha na za chini uon
 
Back
Top Bottom