Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

Hahaaa mapenzi bana,kuna jamaa alikua anatushangaa tunavyo kunywa pombe kali alikua hagusi hata chembe,sasa bana mapenzi yakamshika pabaya demu alitoroshwa na mabaharia, jamaa kaanza safari ya pombe tena ye ndo anawasha gari mapemaa,ila tulimshauri vyema maana angejidhuru
 
Yalinikuta Mimi nimenunua chips mayai jamaa yeye akanunua maji ya jero halaf haooo kwenye geto la mshikaji eti ni maswaiba dadeki
 
Yalinikuta Mimi nimenunua chips mayai jamaa yeye akanunua maji ya jero halaf haooo kwenye geto la mshikaji eti ni maswaiba dadeki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa mapenzi bana,kuna jamaa alikua anatushangaa tunavyo kunywa pombe kali alikua hagusi hata chembe,sasa bana mapenzi yakamshika pabaya demu alitoroshwa na mabaharia, jamaa kaanza safari ya pombe tena ye ndo anawasha gari mapemaa,ila tulimshauri vyema maana angejidhuru
Ni hatari sana
 
Kijana ganii tena. Au mwenye thread
Naam! Huyo huyo mhusika
Screenshot_2020-07-29-18-09-35.jpg
 
Umomi hebu toka nje hapo barabarani usimame kimya dakika10 tuu halafu uje utuambie umeona waschana wangapi wanaoweza kuwa bora zaidi ya huyo unayempigania!?

Wakati huohuo jiulize ingetokea umeenda kupigana ikatokea umeua au umeuwawa ungepata faida gani? Huwezi kusema eti ulipigana kuweka heshma kwa mwanamke asiyejiheshimu mdogo wangu, achana na hizo mambo kabisa

mama D nimekuelewa but ilikuwa n akili za pombe

Rest in peace young, heri hata ungekuja kuomba ushauri kwa wakubwa, hata kama tusingekupa pesa tungekupa uzoefu ambao ungekujenga

Nimeumiaa sana 💔💔💔💔💔💔💔💔
 
Back
Top Bottom