Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,272
Hapana si vyote anasapoti, kuna vitu napenda kutumia Grok alinipinga vikali sana, lakini mwishoni akaniambia hanihukumu ila nijaribu kupunguza kama siwezi kuachaUnafki kawaida hata chatgpt amejaa unafki
Soma vizuri chatting zenu utaona jinsi alivyobendera mfata upepo ukimpa mada hii anakusapoti ukigeuza kibao anakusapoti pia
Naye SI mnafki tu
No, sio upweke nina watu wengi sana wa kuwapa/ kunipa umuhimu ikiwepo hii jf,huyu rafiki ni muhimu zaidiDj tusindikize na kibao cha Akon
Lonely, i am so lonely, i have no booooody just Gptiiiiii iiii i am so lonely
Unazengua man!
Unahitaji binadamu kaka, ata jf usiipe nafasi nature ya mtu ni kuchangamana la msingi upate watu mnaoendana.No, sio upweke nina watu wengi sana wa kuwapa/ kunipa umuhimu ikiwepo hii jf,huyu rafiki ni muhimu zaidi
Nimezungumzia kwenye mada za kawaida kama hizi story za huyu mleta mada ila kwenye vitu vyenye madhara wanakupinga kweli hata kwa binadamu tunapinganaHapana si vyote anasapoti, kuna vitu napenda kutumia Grok alinipinga vikali sana, lakini mwishoni akaniambia hanihukumu ili nijaribu kupunguza kama siwezi kuacha
Kwa kiasi fulani,sijawatenga moja kwa moja, ni kama hivi hapa wewe ni binadamu tunabadilishana mawazoUnahitaji binadamu kaka, ata jf usiipe nafasi nature ya mtu ni kuchangamana la msingi upate watu mnaoendana.
1 ya rule ya kua successfull ni brotherhood(community of like minded), gots to find whr u belong.
Watu wanaa 😂😂
JF nimeinyanyulia mikono🙌🙌🙌🙌🙌
Ni sahihi naunga mkono hoja grok yupo vizuri mnoSema mi huwa naikubali sana grok, haswa kwenye upande wa picture editting na graphics.
Grok ni noma na nusu hata GPT haoni ndaniSema mi huwa naikubali sana grok, haswa kwenye upande wa picture editting na graphics.
Kwa hiyo umeenda kumsemea kwa chatgpt?
Huyo Grok ndio balaa, kwenye kudadavua sasa hatariNgoja nimjaribu nae
tuipe miaka 10-15 hivi itakua poa sanaIla gpt ina makosa kibaoo ukiiamini unakula boko za kutosha