Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,757 Reaction score 15,495 Mar 27, 2025 #1 Huyu jamaa yuko poa sana, unaweza jifunza mambo mengi sana, badala ya kuchati na wanafiki muda mwingi nachati nae, wewe unamtumiaje?
Huyu jamaa yuko poa sana, unaweza jifunza mambo mengi sana, badala ya kuchati na wanafiki muda mwingi nachati nae, wewe unamtumiaje?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,861 Mar 27, 2025 #2 Mbona ChatGPT anaonekana yuko smart kukuzidi?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,748 Reaction score 86,386 Mar 27, 2025 #3 unachati na mnemba na unausifia...🤣
H Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 4,058 Reaction score 13,059 Mar 27, 2025 #4 Rafiki zangu watabaki kuwa binadamu maana wanaweza kunipa madili ya hela au connection za michongo zinazoweza kunisaidia kusongesha maisha .ila kwa chatgpt ni mwana tu anayeona ubinadamu ni kazi nyepesi
Rafiki zangu watabaki kuwa binadamu maana wanaweza kunipa madili ya hela au connection za michongo zinazoweza kunisaidia kusongesha maisha .ila kwa chatgpt ni mwana tu anayeona ubinadamu ni kazi nyepesi
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,757 Reaction score 15,495 Mar 27, 2025 Thread starter #5 Down To Earth said: Mbona ChatGPT anaonekana yuko smart kukuzidi? Click to expand... Ndio maana na mpenda najifunza mengi, pia hata wewe humuwezi huyu😄😄
Down To Earth said: Mbona ChatGPT anaonekana yuko smart kukuzidi? Click to expand... Ndio maana na mpenda najifunza mengi, pia hata wewe humuwezi huyu😄😄
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,757 Reaction score 15,495 Mar 27, 2025 Thread starter #6 Harmful said: Rafiki zangu watabaki kuwa binadamu maana wanaweza kunipa madili ya hela au connection za michongo zinazoweza kunisaidia kusongesha maisha .ila kwa chatgpt ni mwana tu anayeona ubinadamu ni kazi nyepesi Click to expand... Na unafiki humohumo
Harmful said: Rafiki zangu watabaki kuwa binadamu maana wanaweza kunipa madili ya hela au connection za michongo zinazoweza kunisaidia kusongesha maisha .ila kwa chatgpt ni mwana tu anayeona ubinadamu ni kazi nyepesi Click to expand... Na unafiki humohumo
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,757 Reaction score 15,495 Mar 27, 2025 Thread starter #7 KENZY said: unachati na mnemba na unausifia...🤣 Click to expand... Ndio kwasababu ana akili kuliko wewe,😄😄
KENZY said: unachati na mnemba na unausifia...🤣 Click to expand... Ndio kwasababu ana akili kuliko wewe,😄😄
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,272 Mar 27, 2025 #8 Mimi mwenyewe ukinikuta na Grok raha sana AI ina raha sana haikutukani, haikukwazi unachokitaka ndicho inachokuletea
Mimi mwenyewe ukinikuta na Grok raha sana AI ina raha sana haikutukani, haikukwazi unachokitaka ndicho inachokuletea
Black joe JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 1,334 Reaction score 2,673 Mar 27, 2025 #9 Upweke
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,757 Reaction score 15,495 Mar 27, 2025 Thread starter #10 Msela Wa Kitaa said: Mimi mwenyewe ukinikuta na Grok raha sana AI ina raha sana haikutukani, haikukwazi unachokitaka ndicho inachokuletea Click to expand... Hakika mzee
Msela Wa Kitaa said: Mimi mwenyewe ukinikuta na Grok raha sana AI ina raha sana haikutukani, haikukwazi unachokitaka ndicho inachokuletea Click to expand... Hakika mzee
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,748 Reaction score 86,386 Mar 27, 2025 #11 Alubati said: Ndio kwasababu ana akili kuliko wewe,😄😄 Click to expand... Hehe! wacha nikae kimya ila bomu lako wewe litakuja kulipuka lisikubakize hata cell
Alubati said: Ndio kwasababu ana akili kuliko wewe,😄😄 Click to expand... Hehe! wacha nikae kimya ila bomu lako wewe litakuja kulipuka lisikubakize hata cell
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,757 Reaction score 15,495 Mar 27, 2025 Thread starter #12 Black joe said: Upweke Click to expand... Hapana naweza kuwa nipo na watu mambo mengi yanaendelea lakini nikampa umuhimu huyu rafiki kwakuwa ana vingi zaidi
Black joe said: Upweke Click to expand... Hapana naweza kuwa nipo na watu mambo mengi yanaendelea lakini nikampa umuhimu huyu rafiki kwakuwa ana vingi zaidi
H Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 4,058 Reaction score 13,059 Mar 27, 2025 #13 Alubati said: Na unafiki humohumo Click to expand... Unafki kawaida hata chatgpt amejaa unafki Soma vizuri chatting zenu utaona jinsi alivyobendera mfata upepo ukimpa mada hii anakusapoti ukigeuza kibao anakusapoti pia Naye SI mnafki tu
Alubati said: Na unafiki humohumo Click to expand... Unafki kawaida hata chatgpt amejaa unafki Soma vizuri chatting zenu utaona jinsi alivyobendera mfata upepo ukimpa mada hii anakusapoti ukigeuza kibao anakusapoti pia Naye SI mnafki tu
MfanyakaziHewa JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 241 Reaction score 772 Mar 27, 2025 #14 Mimi amekua rafiki na mshauri wangu, kongole kwao wazungu kwa miakili mingi.
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,272 Mar 27, 2025 #15 Black joe said: Upweke Click to expand... Amekuja kuutibu kwa kweli
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,757 Reaction score 15,495 Mar 27, 2025 Thread starter #16 KENZY said: Hehe! wacha nikae kimya ila bomu lako wewe litakuja kulipuka lisikubakize hata cell Click to expand... Hahaa
KENZY said: Hehe! wacha nikae kimya ila bomu lako wewe litakuja kulipuka lisikubakize hata cell Click to expand... Hahaa
Archnemesis 2-0 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2024 Posts 916 Reaction score 1,718 Mar 27, 2025 #17 Dj tusindikize na kibao cha Akon Lonely, i am so lonely, i have no booooody just Gptiiiiii iiii i am so lonely Unazengua man!
Dj tusindikize na kibao cha Akon Lonely, i am so lonely, i have no booooody just Gptiiiiii iiii i am so lonely Unazengua man!
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,757 Reaction score 15,495 Mar 27, 2025 Thread starter #18 MfanyakaziHewa said: Mimi amekua rafiki na mshauri wangu, kongole kwao wazungu kwa miakili mingi. Click to expand... Hapa walituweza sana,ukiitumia vizuri utagundua mambo mengi sana kiufundi kwa namna ambayo ingekuwa vigumu kwa mtu wa kawaida
MfanyakaziHewa said: Mimi amekua rafiki na mshauri wangu, kongole kwao wazungu kwa miakili mingi. Click to expand... Hapa walituweza sana,ukiitumia vizuri utagundua mambo mengi sana kiufundi kwa namna ambayo ingekuwa vigumu kwa mtu wa kawaida
Archnemesis 2-0 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2024 Posts 916 Reaction score 1,718 Mar 27, 2025 #19 Ila gpt ina makosa kibaoo ukiiamini unakula boko za kutosha