Huna ulijualo, mahindi yananunuliwa kwa kulanguliwa Sasa hivi ili yauzwe mwezi wa 12 au wa kwanzaAnything is possible.mm kibaigwa napajua sana biashara karibia zote.
Labda sijaelewa biashara yenu lakini kwamba biashara ya mahindi ununue malori mmmmh hapo nina Mashaka.
Wafanyabiashara wakubwa wa mahindi kibaigwa wanapeleka unga Zanzibar na faida ni ndogo sana.
Kenya wanapeleka wenyewe wakenya wanakuja kununua sokoni.Kwa mtanzania kupeleke Kenya ni ngumu kulingana na masharti ya wizara.
Mkuu nakushauri fuatilia hizo hela zako ni ngumu sana mtu kumaliza chuo 2018 ajue biashara ya kibaigwa Kwa mda mfupi.pale kibaigwa watu wanatapeliwa,wakenya wamelizwa sana (sijaamaanisha jamaako tapeli).
Kingine ambacho kinatakiwa kikushtue ni faida aliyokutajia yaani kutoka mil 25 hadi 60mil ni parefu sana.
Watu wanaopiga hela kidogo kibaigwa niwale wanaoweka stoo kina Gwajima wamejenga godowns lakini bado hawapati faida uliotaja.
Biasahara ya mahindi nimefanya tangu miaka 2005.
Take care
Heka 1 trekta inalima kwa 30,000/= tu yan huongez hata 100 hapo kwahiyo hiyo m4 kwa kiteto mzee unaweza kulima heka nyingi sanaMkuu nipo Songea na kilimo cha mahindi ndio kinaniweka mjini ukitaka kulima heka kumi angalau uwe na milioni nne! Hiyo laki sita haitoshi hata kukodia trekta kulima hizo heka ishirini! Huko mnatumia mbinu gani?
Taratibu mkuu... mbona jazba jamaaa anasema kaanza business 2005 ana experience ya kutoshaaaHuna ulijualo, mahindi yananunuliwa kwa kulanguliwa Sasa hivi ili yauzwe mwezi wa 12 au wa kwanza
Pia ni wapi nimesema kamaliza chuo 2018? Hujui kusoma?
Nina trekta huwa nalimia watu kabla ya kulima kwangu! Heka ni 60, kwenye mashamba ya mpunga heka ni 70.... Chini ya hapo Bora nipaki trektaHeka 1 trekta inalima kwa 30,000/= tu yan huongez hata 100 hapo kwahiyo hiyo m4 kwa kiteto mzee unaweza kulima heka nyingi sana
Acha kabisa mkuu...kwanza kuwa na ndugu maskini kapuku kero sanaKabisa na hawahawa siku akija kuaguka ndio wanamcheka
Ngoja nitafute hela nkipata trekta ntakuja nfanye kaz ya kulima na kupukucha.Nina trekta huwa nalimia watu kabla ya kulima kwangu! Heka ni 60, kwenye mashamba ya mpunga heka ni 70.... Chini ya hapo Bora nipaki trekta
Kuna soko la kimataifa la mahindi hapo kibaigwa utajiri upoRisk ya huku Dodoma ni mvua,ikigoma utashika watu uchawi ila mvua ikikubali aahh mambo mswanu!
Trekta hutegemeana na aina ya udongo wa eneo. Kuna maeneo udongo mbishi lazima gharama za kulima ziwe kubwaNina trekta huwa nalimia watu kabla ya kulima kwangu! Heka ni 60, kwenye mashamba ya mpunga heka ni 70.... Chini ya hapo Bora nipaki trekta
Hapa nilipo Kuna sehemu wanalima kwa laki moja! Hapo ardhi Ni ngumu sanaTrekta hutegemeana na aina ya udongo wa eneo. Kuna maeneo udongo mbishi lazima gharama za kulima ziwe kubwa
bastard...Ela ya Subaru mpya DWC nikanunulie Mahindi kweli
"Kama unataka mali,utaipata shambani".
Hii kauli tunaipata katika kitabu fulani hivi (Jina limenitoka) c
Cha darasa la nne miaka ya 1981-84!"Kama unataka mali,utaipata shambani".
Hii kauli tunaipata katika kitabu fulani hivi (Jina limenitoka) cha Kiswahili.
Usijidangaje Mkuu.tupo hapa tunaijua biashara nje ndani since wanapima kwenye debe hadi sasa wanapima kwenye mzaniKuna soko la kimataifa la mahindi hapo kibaigwa utajiri upo
Ahsante.Cha darasa la nne miaka ya 1981-84!
Kweli mkuu. Labda wasage unga wauze nje hata hivyo ni changamoto sanaDodoma Dodoma idodomya. Atakayejichanganya kupeleka mtaji wake tusilaumiane.
Dodoma itakuwa na pesa ila sio sasa!.
karibu mkuuDodoma natamani connection ya zabibu..
Hapa Dar tunauziwa zabibu za kijani elfu nane kilo
Nimesikia Nairobi bei mara tatu
Zabibu ni mvumi Mkuu na bihawanaDodoma natamani connection ya zabibu..
Hapa Dar tunauziwa zabibu za kijani elfu nane kilo
Nimesikia Nairobi bei mara tatu