Rafiki yangu amekuwa tajiri mkubwa Dodoma, ninafuata njia zake. Tuzifuate

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,174
27,218
Binafsi napenda kuweka wazi kabisa kuwa Mimi Sera yangu ni utajiri, ninahubiri utajiri tu.

Tafadhali Kama wewe una mawazo ya kimaskini hii post inaweza kukuletea shida ya msongo wa mawazo.

Rafiki yangu yupo Dodoma muda mrefu Sana tokea tumalize wote chuo kipindi hicho.

Kwao ni Dodoma na alianza harakati za maisha hata kipindi tunasoma, tulipomaliza alikuwa tayari kwenye mstari na sasa hivi ni tajiri mkubwa tu huko Dodoma.

Huyu amepata pesa kwenye mahindi kule Kibaigwa, ni mahindi tu hakuna kingine zaidi ya hicho kilichompa utajiri. Ila sasa hivi ana vingine(Malori).

Unaweza kupita sehemu na kudharau kumbe ndipo pesa inapatikana kirahisi hapo. Niseme ukweli sijawahi kupaelewa kibaigwa na nilipomueleza hili alinishangaa Sana.

Amenieleza kibaigwa Kuna pesa nyingi sana ya mahindi, na hapa tunapoongea nimeomba kuweka pesa kwa kutumia mgongo wake.
Kijana mwenzangu kama upo jirani na Kibaigwa hebu jaribu kwenda kufanya research uwekeze ulichonacho kwenye mahindi hata kwa kuanza mdogomdogo, tusidharau Sana sehemu hizi.

Binafsi nimetoa tayari mil 25 kwa ajili ya hii kitu na ninaeleza kupata mil 60 Kama mambo yakikaa vizuri. Najua sana biashara na najua Kuna kupata na kukosa Ila ni lazima kchukua "risk".

Bila kuchukua risk huwezi kufanikiwa kabisa, huu ni ukweli mchungu.

Kijana mdogo(38) anamiliki Lori 6, na zote anajaza mzigo unaenda Kenya na sehemu zingine.

Nipo tayari kufuata hii njia pia, tukubali tukatae ni lazima tufanye vitu vingi ili tuweze kuwa matajiri bila hivyo tusahau kuwa matajiri.
Umaskini ni mbaya Sana ndugu zangu, na kitu kibaya zaidi ni mawazo ya kimaskini.

Ukiwa maskini hata ukiongea jambo la kuchekesha watu hawacheki.

Hivyo naongeza nguvu nyingine kwenye sekta hii na haswa kupitia mgongo wa huyu jamaa yangu
Naona ndoto nyingi Ila muda nahisi hautoshi kuzitimiza..!

Pesa ipo sana, ila yapaswa kutumia akili kuipata...!
 
Binafsi napenda kuweka wazi kabisa kuwa Mimi Sera yangu ni utajiri, ninahubiri utajiri tu. Tafadhali Kama wewe una mawazo ya kimaskini hii post inaweza kukuletea shida ya msongo wa mawazo.
Rafiki yangu yupo dodoma muda mrefu Sana tokea tumalize wote chuo kipindi hicho.
Kwao ni dodoma na alianza harakati za maisha hata kipindi tunasoma, tulipomaliza alikuwa tayari kwenye mstari na Sasa hivi ni tajiri mkubwa tu huko dodoma.
Huyu amepata pesa kwenye mahindi kule kibaigwa, ni mahindi tu hakuna kingine zaidi ya hicho kilichompa utajiri. Ila Sasa hivi ana vingine(Malori).
Unaweza kupita sehemu na kudharau kumbe ndipo pesa inapatikana kirahisi hapo. Niseme ukweli sijawahi kupaelewa kibaigwa na nilipomueleza hili alinishangaa Sana.
Amenieleza kibaigwa Kuna pesa nyingi Sana ya mahindi, na hapa tunapoongea nimeomba kuweka pesa kwa kutumia mgongo wake.
Kijana mwenzangu kama upo jirani na kibaigwa hebu jaribu kwenda kufanya research uwekeze ulichonacho kwenye mahindi hata kwa kuanza mdogomdogo, tusidharau Sana sehemu hizi.
Binafsi nimetoa tayari mil 25 kwa ajili ya hii kitu na ninaeleza kupata mil 60 Kama mambo yakikaa vizuri. Najua Sana biashara na najua Kuna kupata na kukosa Ila ni lazima kchukua "risk".
Bila kuchukua risk huwezi kufanikiwa kabisa, huu ni ukweli mchungu.
Kijana mdogo(38) anamiliki Lori 6, na zote anajaza mzigo unaenda Kenya na sehemu zingine.
Nipo tayari kufuata hii njia pia, tukubali tukatae ni lazima tufanye vitu vingi ili tuweze kuwa matajiri bila hivyo tusahau kuwa matajiri.
Umaskini ni mbaya Sana ndugu zangu, na kitu kibaya zaidi ni mawazo ya kimaskini.
Ukiwa maskini hata ukiongea jambo la kuchekesha watu hawacheki.
Hivyo naongeza nguvu nyingine kwenye sekta hii na haswa kupitia mgongo wa huyu jamaa yangu
Naona ndoto nyingi Ila muda nahisi hautoshi kuzitimiza.................!

Bro
Unachosema ni kweli...kweli tupu

Ila kuna watu wanadharau sana shamba
Wanadharau sana kilimo
 
Mkuu Taratibu.. Though I'm not rich.. ila Risk hizo za 25M

Buffet anakwambia Worry when others are Greedy.. be Greedy when others are worrying.

Kama Huna Soko Mahindi yako yataozea Ndani..
Powa tu, ndio biashara ilivyo. Ila hayawezi kuoza sema labda ntauza chini ya nilivyotarajia
 
Binafsi napenda kuweka wazi kabisa kuwa Mimi Sera yangu ni utajiri, ninahubiri utajiri tu. Tafadhali Kama wewe una mawazo ya kimaskini hii post inaweza kukuletea shida ya msongo wa mawazo.
Rafiki yangu yupo dodoma muda mrefu Sana tokea tumalize wote chuo kipindi hicho.
Kwao ni dodoma na alianza harakati za maisha hata kipindi tunasoma, tulipomaliza alikuwa tayari kwenye mstari na Sasa hivi ni tajiri mkubwa tu huko dodoma.
Huyu amepata pesa kwenye mahindi kule kibaigwa, ni mahindi tu hakuna kingine zaidi ya hicho kilichompa utajiri. Ila Sasa hivi ana vingine(Malori).
Unaweza kupita sehemu na kudharau kumbe ndipo pesa inapatikana kirahisi hapo. Niseme ukweli sijawahi kupaelewa kibaigwa na nilipomueleza hili alinishangaa Sana.
Amenieleza kibaigwa Kuna pesa nyingi Sana ya mahindi, na hapa tunapoongea nimeomba kuweka pesa kwa kutumia mgongo wake.
Kijana mwenzangu kama upo jirani na kibaigwa hebu jaribu kwenda kufanya research uwekeze ulichonacho kwenye mahindi hata kwa kuanza mdogomdogo, tusidharau Sana sehemu hizi.
Binafsi nimetoa tayari mil 25 kwa ajili ya hii kitu na ninaeleza kupata mil 60 Kama mambo yakikaa vizuri. Najua Sana biashara na najua Kuna kupata na kukosa Ila ni lazima kchukua "risk".
Bila kuchukua risk huwezi kufanikiwa kabisa, huu ni ukweli mchungu.
Kijana mdogo(38) anamiliki Lori 6, na zote anajaza mzigo unaenda Kenya na sehemu zingine.
Nipo tayari kufuata hii njia pia, tukubali tukatae ni lazima tufanye vitu vingi ili tuweze kuwa matajiri bila hivyo tusahau kuwa matajiri.
Umaskini ni mbaya Sana ndugu zangu, na kitu kibaya zaidi ni mawazo ya kimaskini.
Ukiwa maskini hata ukiongea jambo la kuchekesha watu hawacheki.
Hivyo naongeza nguvu nyingine kwenye sekta hii na haswa kupitia mgongo wa huyu jamaa yangu
Naona ndoto nyingi Ila muda nahisi hautoshi kuzitimiza.................!
Pesa ipo sana, ila yapaswa kutumia akili kuipata...!
mstari wa mbele kabisaaaa.
 
Mkuu Taratibu.. Though I'm not rich.. ila Risk hizo za 25M 🤣🤣

Buffet anakwambia Worry when others are Greedy.. be Greedy when others are worrying.

Kama Huna Soko Mahindi yako yataozea Ndani..
buffet ni mzembe kama ulivyo wewe, yeye mwenye bila kuwa na juhudi binafsi asingeweza kuwa pale alipo.
 
Mkuu nenda na kiteto kule mashamba ni makubwa na ni bei rahisi hayana thaman unaweza kupata shamba heka 20 kwa 500,000/= (laki tano tu) mahindi yanakubali sana na kupalilia watu wanapalilia heka 1 kwa tsh10k tu hivyo hivyo nq kuvuna.
Kwenye heka moja unaweza kupata had gunia 9 na gunia moja ni 45,000/=
Ukivuna heka 20 una uhakika wa 8M kama mambo yataenda vizuri
Huku wewe ukiwa umewekeza Sana sana 600k .
Mimi nimepata bahat ya kupata shamba heka 20 kwa laki mbili tu
(Nenda mwenyewe kafanya utafiti kama una nia kule pesa ipo na mvua ni nying tofaut kdogo na dodoma )
 
Binafsi napenda kuweka wazi kabisa kuwa Mimi Sera yangu ni utajiri, ninahubiri utajiri tu. Tafadhali Kama wewe una mawazo ya kimaskini hii post inaweza kukuletea shida ya msongo wa mawazo.
Rafiki yangu yupo dodoma muda mrefu Sana tokea tumalize wote chuo kipindi hicho.
Kwao ni dodoma na alianza harakati za maisha hata kipindi tunasoma, tulipomaliza alikuwa tayari kwenye mstari na Sasa hivi ni tajiri mkubwa tu huko dodoma.
Huyu amepata pesa kwenye mahindi kule kibaigwa, ni mahindi tu hakuna kingine zaidi ya hicho kilichompa utajiri. Ila Sasa hivi ana vingine(Malori).
Unaweza kupita sehemu na kudharau kumbe ndipo pesa inapatikana kirahisi hapo. Niseme ukweli sijawahi kupaelewa kibaigwa na nilipomueleza hili alinishangaa Sana.
Amenieleza kibaigwa Kuna pesa nyingi Sana ya mahindi, na hapa tunapoongea nimeomba kuweka pesa kwa kutumia mgongo wake.
Kijana mwenzangu kama upo jirani na kibaigwa hebu jaribu kwenda kufanya research uwekeze ulichonacho kwenye mahindi hata kwa kuanza mdogomdogo, tusidharau Sana sehemu hizi.
Binafsi nimetoa tayari mil 25 kwa ajili ya hii kitu na ninaeleza kupata mil 60 Kama mambo yakikaa vizuri. Najua Sana biashara na najua Kuna kupata na kukosa Ila ni lazima kchukua "risk".
Bila kuchukua risk huwezi kufanikiwa kabisa, huu ni ukweli mchungu.
Kijana mdogo(38) anamiliki Lori 6, na zote anajaza mzigo unaenda Kenya na sehemu zingine.
Nipo tayari kufuata hii njia pia, tukubali tukatae ni lazima tufanye vitu vingi ili tuweze kuwa matajiri bila hivyo tusahau kuwa matajiri.
Umaskini ni mbaya Sana ndugu zangu, na kitu kibaya zaidi ni mawazo ya kimaskini.
Ukiwa maskini hata ukiongea jambo la kuchekesha watu hawacheki.
Hivyo naongeza nguvu nyingine kwenye sekta hii na haswa kupitia mgongo wa huyu jamaa yangu
Naona ndoto nyingi Ila muda nahisi hautoshi kuzitimiza.................!
Pesa ipo sana, ila yapaswa kutumia akili kuipata...!
Sikupingi kama hela hii ataisimamia huyo jamaa yako ila kwa akili za mihemuko hizi ungeenda wewe kichwa kichwa hio hela ingekata😝😝😝
 
Ni jambo la kheri kwa kuona ni ngumu nyuma yake na mafanikio yake huwezi jua kila kitu hasa anavyowekeza.

"Ni rahisi kumfundisha mtu kuimba,lakini huwezi kumfanya ang'are"
 
Back
Top Bottom