mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,463
- 3,932
Asante Kwa Ushauri murua tumeupokeaIikuepukalo linakheri nawe..muache aende..yatapita
Watu wazima hujiongeza kaka hahahahaha....Asante Kwa ushaurinakwambia hivi
katow sadaka nusu ya mali zako ushukuru Mungu umeambiwa peupe.
wenzio tumewekwa rumande ndio tunashuhudia michepuko hadi watoto juu shukuru sana coz huhaingia rumande bado.
NB:usirudie kutafta msaada kwa njia ya kusema rafiki yangu utakosa mwongozo.
maana kuna watu km Smart911 , hawakawii kukwambia mambo yao waachie wao.
Hakuna kinachoweza kusaidika hapa zaidi ya wewe kutupa namba ya simu ya huyo dada tuongee nae tumsisitize kuwa jamaa anampenda sana asimuache.
Otherwise, hatuna access yoyote kusema kweli na kama hutaki kutupa hiyo namba basi msaada wetu ni kukutuma wewe kamwambie mshkaji wako akubali matokeo asonge mbele na atafute mwanamke mwingine
Huko ni balaaKamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia
Naandika wosia huu kwa vijana wenzangu baada ya kupona maumivu ya kuachana na mwanamke niliempenda sana miezi kadhaa iliyopitaa ila kitu nilichojifunza mwanamke akionekana ameonesha dalili hakuhitaji tena. Mwanamke akifikia hatua amekubadilikia na akaonesha dalili za kutaka kuachana na wewe ni...www.jamiiforums.com
Mpe hiyo link
Mwanamme ndio kaambiwa hivyoAliyetoswa ni me au ke ??
Bidada hajafuta namba ya mshikaji na mshikaji hajafuta namba ya mdada Mpaka sasaAsiangaike kumtafuta