Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.

Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.

Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.

Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Aliwe ndogo
 
Muwekee mtego, then uwe na vijana wako watatu wenye uchu. Mkishamkamata mlainishe kfabla hujamuambia ampigie mkewe aje ashuhudie vijana wanavyofaidi.
 
Wewe ni mwanaume? Umeoa? Basi kama umeoa inawezekana kabisa mkeo anagawa kama pipi na ndiyo maana unadhani hakuna walio waaminifu. Na pia ulikuwa kwenye mazingira ya wanawake eg dada zako, mama yako nk kufanya umalaya hivyo ukaaminishwa kuwa wanawake wakitongozwa ni lazima wakubali.
mwanamke akitongozwa na anayempenda lazima akubali
tena wengine wanawaonea huruma tu
 
Mkuu...tuliza akili..kama ni rafiki yako kweli mwambie tu..halafu achana naye, vunja urafiki..muwe kama watu wa kawaida tu...huyo ukimuendekeza atapita na mtoto wako huyo...

Mimi kwenye ujana kabla sijaoa..5 years back..nilikua na girl friend ambaye rafiki yangu alikua anamjua..wote tulikuwa circle moja...na hata mazingira ya kumpata aliyajua...kuna kupindi ghafla yule dada alikata mawasiliano mimi wala sikujali.(kipindi hicho rafiki yangu alikua na mke na mtoto tayari)...heee kumbe jamaa kaanza kumla...alikuja kuniambia mkanda mzima mwenyewe...wala sikuhamaki..nikamwambia duuh endelea tu...sisi urafiki wetu unaendelea mpaka leo...aliniambia aliona si sawa akaachana naye...
 
Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.

Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.

Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.

Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Broo hapo umemsikia mkeo tu vp rafiki yako anasemaje!!? Halafu unahamin mkeo anatongozwa na best ako tu!?? Mzee mwambie mke amalize yeye mwenyewe!! We piga kimya na huyo mwanao ongea nae kma kawida!! Mungu amesema tuishi na wanawake kwa akili na wanawake watupende na kututii!! Muelewe Mungu tuishi nao kwa akili
 
Jamaa alishakula hapo sema kapiga bonge la U-turn sasa manzi anaona kama kamdhalilisha kaamua amchome Kwa Mme wake ambaye ni rafk yake .....
 
Kwanza unaruhusu vp mahusiano hadi rafiki kuja nyumbani kwako?
 
Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.

Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.

Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.

Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Uliza kama amepiga au bado?
 
Kwa akili za wanawake nakuhakikishia ameliwa mara nyingi tu na huyo rafik yako... Watakua kuna vitu wamegombana sasa mkeo kaamua kukuambia ili ajiweke safe side likitokea la kutokea akuambie lakini nilikuambia...
Lakini nyie vijana wa sikuhiz ni wajinga sana, marafiki zako ni marufuku kuzoeana na mkeo, ni marufuku kuja nyumban kwako BILA DHARULA AU SABABU YA MSINGI... Sasa kama rafiki yako anaweza kuja kwako na akapikiwa chakula sasa huyo hana tofaut na wewe mume...
Sikuzote atakaye kutombea mkeo ni rafik yako wa karibu unaye muamini
 
Mpigie cm rafiki yako mwambie ukweli nimekuta,sms zako kwa mke wangu,,nakuomba kama utaona ni vema acha kumtongoza tumekuwa marafiki muda mrefu si vema urafiki wetu uishe kwa historia mbaya.

Lakini kama unahisi unachofanya ni sahihi basi endelea ila pia likitokea baya kama utaendelea utavuna unachopanda saivi.


Case closed.
 
Kuna sehemu mkeo ana madhaifu, jamaa akaamua kutesti kama atafanikisha. Ukitulia itayajua mengi.. That's The wakeup alarm
 
Back
Top Bottom