R.I.P mwanaJF!

Hapana!...Ndio maana ninakwambia wengine tumerithi tu mambo haya...Ndio maana tunahoji leo hii!
Kuna faida ya kutokujua ID za watu.... wengine humu ni babu zetu na bibi zetu, wakiongea pumba tutawaonea aibu kuwaambia ukweli... ID bila kujua mtu inapendeza sababu tunafight hoja kwa hoja na sio the man/woman behind the hoja.
 
Uko sawa!
Lakini fikiria issue kama hii hapa kwenye thread!...All his work and voice is going to hell/heaven with him!...hatujui alichokuwa anasimamia!..Consider from that angle!
 
Uko sawa!
Lakini fikiria issue kama hii hapa kwenye thread!...All his work and voice is going to hell/heaven with him!...hatujui alichokuwa anasimamia!..Consider from that angle!

Yaani legacy inakuwa kama vile haipo.
 
r.i.p mkuu
jamani inasikitisha sana tubadilike na tujifunze kutokana na huu msiba tuaribu kuwa wawazi kiasi
 
r.i.p mkuu
jamani inasikitisha sana tubadilike na tujifunze kutokana na huu msiba tuaribu kuwa wawazi kiasi
asante mkuu,
kwakweli tusipojifunza ki2 juu ya hizi warning alarms tutakuwa comedians wa hali ya juu kuliko Mrs Doubtfire(robin williams)...maana tutakuwa tunaigiza kuwa HAFI MTU, wakati ukweli unatuumbua kama hv leo!
Poor us!
 
jamani kamanda alikuwa cdm full niliwahi kukutana naye siku chache kabla ya kifo duh alikuwa anamwaga sera kumuombea kura lema . ubarikiwe uliyeweka picha yake Rip jemedari
 
Rest in peace,Allah Yarhamak, في بقية السلام
 
People,people let the end be the end. Kwanini tunapenda kuendeleza vitu? Mtu akifika mwisho kubalini na muendelee,maswala ya legacy,comemoration ni dhana ya kutokukubali the inevitable. Kama ana legacy aliyoacha,kawaachia wanaomjua! Je kama aliandika mambo nyeti na siri hapa ambayo yatahatarisha familia yake au yatamfanya kushuka hadhi/heshima kwa familia yake itakua kweli tunataka a RIP!!?
Til we meet again Abuu!
 
Mfano kuna watu wanaandika mambo jukwaa la mambo ya wakubwa ambayo najua hakika hawataki marafiki au ndugu wajue. Je tunahaki gani ya kuvunja hili takwa la mtu pale anapofariki!? Na je litaleta madhara gani kwa watoto na mke wake mfano?
 
jamani kamanda alikuwa cdm full niliwahi kukutana naye siku chache kabla ya kifo duh alikuwa anamwaga sera kumuombea kura lema . ubarikiwe uliyeweka picha yake Rip jemedari

du, unaona sasa.
Lkn naamini hukupata kujua km n mwanajf, achilia mbali masuala ya ID yake.
Mkuu Superfisadi, mkiona inaswihi, basi fahamiana na m2 mmoja au nusu-mtu tu, kuna umuhimu ambao leo hii umefichika machoni petu...aksante.
 
Huwa najisikia furaha nikitumia jina langu la Kimokole hapa ingawa kwenye inshu nyingine naingia kwa ID tofauti. RIP Bro!
 
Mfano kuna watu wanaandika mambo jukwaa la mambo ya wakubwa ambayo najua hakika hawataki marafiki au ndugu wajue. Je tunahaki gani ya kuvunja la mtu pale anapofariki!? Na je litaleta madhara gani kwa watoto na mke wake mfano?

hahahaa,
Kiongoz umenichekesha sn.
Unapoongelea suala la mke wake na watoto kujua juu ya mambo ya mzee wao unamaanisha nao watakuwa ni memberz, tena watakuwa wameomba access ya jukwaa la Maria-Rose, kwahiyo watakuwa pia ni ndege wa aina 1!
 
Mkuu PK kuna watu kule nikija kujua kua ni dingi,maza,mjomba au shangazi hakika ntazimia! Hahaha!
 
Back
Top Bottom