R.I.P Maulid Hamad Maulid

ni kweli kabisa ndugu.! Sijui anataka kuambiwa kafa kwa ajali, ukimwi, malaria sugu, kipindupindu au labda kaangukiwa na jani la mchicha.!!? Rip M.H.M



ha ha ha ha jamani Hapo kwenye blu!... ila huyu baba alikua na afya mgogoro alikua kafubaaa...enweiz RIP
 
Mungu aipumzishe roho yako mahali pema Maulid H Maulidi. Tutaikosa sauti yako kwenye vipindi vya sport leo na mambo mseto!
 
Mpwa, mbona umenijibu kwa kashfa hivyo? kosa langu ni kuuliza source ya kifo? tangu lini mtu akajua source ya kifo akamfufua mtu? Naomba uwe na busara kidogo pls, haukuwa na maana au sababu ya kunidhihaki kiasi hiki, kama hukuwa tayari kunijbu basi mwingine angejibu au wangekaa kimya. Ok, nimejua pia kiasi cha busara zako, asante pia
Ukijua chanzo cha kifo utamfufua? Wewe elewa tu kwamba Maulid Hamad Maulid ametutangulia mbele za haki basi, tumwombee.
 
R.I.P Maulid!
Maulid%20Hamad.jpg
R.I.P maulid
 
Mungu aipumzishe roho ya marehemu mali pema peponi! Amen
 
Back
Top Bottom