Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

R.I.P Maulid Hamad Maulid

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIQO, Oct 18, 2011.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,840
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hayati Maulid Hamad Maulid enzi za uhai wake

  CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), kinasikitika kutangaza kifo cha mwandishi mahiri wa habari za michezo Zanzibar, Maulid Hamad Maulid.Maulid ambaye anafanyia kazi vituo vya Redio One na ITV akiwa Zanzibar, amefariki dunia leo Jumanne Oktoba 18, 2011 asubuhi nyumbani kwake Jang'ombe Zanzibar.Taswa imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Maulid kwani alikuwa kiungo muhimu kwa ushirikiano kati ya Taswa na waandishi wa habari za michezo Zanzibar.

  Pia Maulid alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Taswa Zanzibar ambayo ilianzishwa hivi karibuni kwa lengo la kuwaweka pamoja waandishi wa habari za michezo Zanzibar.Tumepoteza mtu muhimu, mpiganaji mahiri katika mambo ya michezo ambaye daima Taswa tutaendelea kumkumbuka.Tunaipa pole familia yake, Taswa Zanzibar na wanamichezo wengine weote kutokana na msiba huo mkubwa na tupo nao katika kipindi hiki kigumu.

  Wakati wa uhai wake Maulid licha ya kuwa kiongozi wa timu mbalimbali ikiwemo kuwa Rais wa timu ya Taifa Jang'ombe iliyopata kushiriki Ligi Kuu Zanzibar, pia amepata kuchezea timu ya Kikwajuni ya Zanzibar. Pia amepata kuwa msemaji wa Chama cha Soka Zanzibar(ZFA) kabla ya kujiondoa baada ya uchaguzi wa chama hicho mwaka jana.Kulingana na taarifa ambazo Taswa imezipata kutoka kwa Katibu wa Taswa Zanzibar, Donisya Thomas ni kuwa taratibu za maziko zilikuwa zikiendelea na kuna uwezekano mkubwa akazikwa leo alasiri.

  Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya Maulid Hamad Maulid.

  Amin Nawasilisha.Amir MhandoKatibu Mkuu Taswa18/10/2011.
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,187
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Mungu alitoa na Mungu ametwaa Jina lake libarikiwe AMEN

  R I P
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 27,964
  Likes Received: 6,818
  Trophy Points: 280
  Lesti in pici
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,493
  Likes Received: 5,666
  Trophy Points: 280
  Mbona hakuna chanzo cha kifo Mpwa, japo tungejua kidogo, poleni sana sana n
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,896
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  R.I.P Maulid H. Maulid
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,842
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  R.I.P Maulidi Maulidi
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,071
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 11,956
  Likes Received: 3,246
  Trophy Points: 280
  RIP Maulid
   
 9. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ukijua chanzo cha kifo utamfufua? Wewe elewa tu kwamba Maulid Hamad Maulid ametutangulia mbele za haki basi, tumwombee.
   
 10. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  R.i.p h.m.h!
   
 11. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 1,736
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  R.I.P Maulid Hamad Maulid
   
 12. a

  ablood8 Senior Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  R.I.P kamanda
   
 13. M

  Msharika JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 934
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  R.I.P Maulid Hamad Maulid
   
 14. M

  Mwera JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Innalilahi wainna ilayhi raajiuun.
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,042
  Likes Received: 2,142
  Trophy Points: 280
  Kalale Pema
  M. H. Maulid!!!
   
 16. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,310
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ni kweli kabisa ndugu.! Sijui anataka kuambiwa kafa kwa ajali, ukimwi, malaria sugu, kipindupindu au labda kaangukiwa na jani la mchicha.!!? Rip M.H.M
   
 17. s

  shosti JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,960
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  R.I.P Maulid...kifo hakiko mbali jamani
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,812
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 280
  R.I.P Maulid!
  [​IMG]
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 51,877
  Likes Received: 11,252
  Trophy Points: 280
  Inna Li Llahi wa Inna ILlahi Rajiun.
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,413
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Om shamti om shamti om shamti
   
Loading...