Maulid Jemedari, amefanikiwa kutoa zawadi kwa wanafunzi bora katika nyanja tofauti tofauti kwenye shule ya msingi Majengo

Mwanongwa

Senior Member
Feb 15, 2023
169
198
Diwani wa kata ya Majengo jijini Mbeya anayejulikana kwa jina la Maulid Jamedari ,amefanikiwa kutoa zawadi kwa wanafunzi bora katika nyanja tofauti tofauti kwenye shule ya msingi Majengo.

Diwani huyo ametoa zawadi kwa wanafunzi kama vile Madaftari,Pen na kalamu kwa wanafunzi waliofanya vizuri Darasani,Nidhamu,Michezo,Uongozi bora,usafi pamoja na kuwahi shuleni.

kwa upande wa walimu ametoa vyeti vya pongezi kwa msaada mkubwa wanaochangia kwenye kuimarisha elimu katika shule ya msingi majengo

Pia tuzo za diwani zinategemea kuanza kwa wananchi moja kwa moja kwa atakayeboresha mazingira bora ya nyumba yake na kutunza mazingira kwenye eneo lake kupata zawadi nono.

IMG-20231208-WA0036.jpg
View attachment 2836891
 
Diwani wa kata ya Majengo jijini Mbeya anayejulikana kwa jina la Maulid Jemedari ,amefanikiwa kutoa zawadi kwa wanafunzi bora katika nyanja tofauti tofauti kwenye shule ya msingi Majengo.

Diwani huyo ametoa zawadi kwa wanafunzi kama vile Madaftari,Pen na kalamu kwa wanafunzi waliofanya vizuri Darasani,Nidhamu,Michezo,Uongozi bora,usafi pamoja na kuwahi shuleni.

kwa upande wa walimu ametoa vyeti vya pongezi kwa msaada mkubwa wanaochangia kwenye kuimarisha elimu katika shule ya msingi majengo

Pia tuzo za diwani zinategemea kuanza kwa wananchi moja kwa moja kwa atakayeboresha mazingira bora ya nyumba yake na kutunza mazingira kwenye eneo lake kupata zawadi nono.

View attachment 2836893View attachment 2836891
Nice
 
Back
Top Bottom