masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Unastaajabu nini Mungu alisema kuwa isa akawa kama alivyosema kuwa nuru ikawa hapaitajiki muujiza ni suala la Mungu kusema tu kila kitu kinakaa mahali pakeAndiko gani hilo alilosema kuwa Issa,Issa akatokea,lipo ktk kitabu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app