Quran: Huyu Issa bin Maryam ni nani? Kwanini aitwe hivi?

Nabii Tito alikuwa ananywesha watu Pombe kwenye ibada zake kinyume na maombi aliyoomba katika usajiri wake..
Nabii Tito alikuwa anadhalilisha wanawake kwa kucheza nao hadharani na kuwashikashika maziwa mbele ya watoto katika ibada zake kinyume na alivyozisajiri kazi zake
Jambo hili ni kinyume na maadaili ya Kitanzania ndio maana alikamatwa.
Tatizo alikuwa anavunja katiba ya nchi inayosisitiza kuheshimu utu wa watu wote.
Kama angekuwa anafundisha bila kuvunja maadili asinge bughudhiwa.
Si unawaona Baadhi ya wanaojiita Manabii wanavyokuwa matapeli lakini wanaachwa tu.
Wanadanganya kuwa wanafufua wafu, makabulini Misukule, tena kuna mmoja alijitangaza kabisa kanisani kwake kuwa atamfufua Marehemu Amina Chifupa. wanawaibia waumini fedha kwa mgongo wa Sadaka, wanafundisha mafundisho nje ya Biblia na Ukristo. Wanaigiza kufanya miujiza, wanahubiri chuki, ni kwamba wanafundisha mambo tofauti na ya kwenye biblia lakini hawakamatwi.
Ni kwakuwa hawakiuki katiba ya nchi.
Nabii Tito alikiuka Katiba ya nchi ndio maana alikamatwa na kuzuia kuendelea kugida pombe na kunengua na mahausigeli na kuwapapasa mbele ya jamii.
Mbona kuna makanisa yana majina kama.
The Church of Satan
The Masonic Church
The Church of Lucifer
The Ngwanjima Church.
Yapo na hayazuiliwi kuhubiri imani yao ingawa sio imani ya Kikristo..!
Ulishaona mahali kuna jengo limesajili jina la
The Mosque of Satan ?
Jiulize ni kwanini hakuna jengo linaloitwa hivyo.
Jiulize kama mtu atasajiri hilo jina na kujenga hilo jengo nini kitamtokea.
Wenzetu hamuwezi kuruhusu kitu kinacho challenge Imani yenu, mnakizuia kwa nguvu zote hata ikiwezekana kwa kuua.
Unakumbuka kisanga kilichotokea mwaka ule baada ya yule mtoto kukojole ganda la kitabu cha Qurani ?
Leo hata ukiamua kuinyea Biblia hakuna atakaye kuangalia utaonekana kama kichaa tu.
Fanya kitendo hicho kwa kitabu cha Qurani halafu uone mtiti wake.
Vikatuni vya Yesu Kristo viko kila mahali.
Jaribu kuchora kikatuni cha Mtume Muhammadi kwenye Gazeti au popote halafu sikilizia moto utakavyo waka
Injiri ya Barnaba ipo kila mahali na haina mgogoro wa mtu kuisoma au mwandishi wake, tofauti na Satanic Verse.
Jitafakari kwanini wenzetu mnatumia nguvu kubwa sana ya hata kuua halaiki kama mtu kaandika kitu au kutenda jambo tofauti na imani yenu ?
Mnalazimisha kila mtu awe kama sio anasifia sifia tu kila kitu cha kwenye imani yenu, basi akae kimya lakini sio kuipinga.
Ukiipinga kidogo tu lazima uuliwe kama alivyohukumiwa kuuliwa Salmin Rushdie.
Kuna nini hapo ?








Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo sababu za kukamatwa kwa Nabii Tito ni kwa mtazamo wako au ndiyo sababu zilizotolewa?maana hizo sababu ndiyo kwanza nakusikia wewe maana hata humu kuna uzi tumejadili hilo suala.

Nabii Tito alichokuwa anafanya sio sawa ila sababu za kukamatwa kwake ndio utata.
 
Mkuu hizo sababu za kukamatwa kwa Nabii Tito ni kwa mtazamo wako au ndiyo sababu zilizotolewa?maana hizo sababu ndiyo kwanza nakusikia wewe maana hata humu kuna uzi tumejadili hilo suala.

Nabii Tito alichokuwa anafanya sio sawa ila sababu za kukamatwa kwake ndio utata.
Angalia clips zake kwenye Utube zinaonesha wazi kabisa matendo yake yanafanywa na mtu ambaye hana akili timamu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marimu anatokana na ukoo Wa Haroon mdogo wa MUSA naona kiarabu kutafisiri katika lugha ambazo sio semitic ndio tatizo kubwa ISSA NDIO HUYO HUYO ANAEITWA YESU JAPO JINA HALISI IN ESUS WAPAGANI WAKAONGEZA J ESUS NA ISSA PRONOUNCIATION KISEMITIC ZINAFANANA NA TATAIZO wamissionary walivyokuja Afrika walipta taabu juu yu kuunganisha lugha ikaeleweka kama vile Kiengereza bado kinaiba maneno ya kilatini mpaka leo
 
Angalia clips zake kwenye Utube zinaonesha wazi kabisa matendo yake yanafanywa na mtu ambaye hana akili timamu.




Sent using Jamii Forums mobile app
Suala sio yeye kutokuwa na akili timamu,pamoja na yeye kutokuwa na akili timamu ila alikuwa na hoja zake ambazo hakupewa nafasi ya kusikilizwa.

Ndiyo maana nimesema alichokuwa anafanya sio sawa ila kukamatwa kwake ndio utata,et ana kashifu imani za watu!!!
 
Issa waislamu humfafanisha na Yesu. But kimatendo ni Tofaut kabisa.

Allah kwa waislamu ni Mungu wao ila ni tofauti na
Jehovah Mungu anayeabudiwa na Wakristo. Hawa wawili ni miungu wawili tofauti kabisa
 
Salute
Mkuu Issa haina maana ya Yesu kwa lugha yoyote ile,Issa ni jina lingine linalohusu kitu kingine na lilitumiwa na mtu mwingine kabisa....

Yesu kwa Kiarabu ni Yeshu,sawasawa kabisa na Yesu kwa Kiebrania ambayo ni Yesh'ua..

Sijui wanaosema Issa ni Yesu wanataka kusema nini,lakini hata sifa zao tu ni tofauti.Issa ni mtoto wa mwanamke aliyeitwa Mariamu,alizaliwa chini ya mtende,alikuwa ni binadamu na alitumwa na mungu anayeitwa Allah na hakufa...

Yesu kwa upande mwingine ni Mungu aliyevaa umbo la mwanadamu,alizaliwa kwenye hori la kulishia Ng'ombe,mama yake ni mwanamke aliyeitwa Mariamu,ni mwokozi wa wanadamu maana alikufa kwaajili yao
Waislamu wanaamin kila nafsi itaonja umauti kama Yesu hakufa alipaa?,au alienda wapi
 
Mkuu kasome tena hasa ukristo wako. Issa ndio Yesu, ktk uislamu historia ya Yesu imezungumzwa vizuri kwa ufasaha na upana wake.

Tofauti ni kua ukristo umempa uungu Yesu ambao kwa mtu mwenye fikra huru lazma apate mashaka. Yesu ni mtume kama mitume mingine iliyotangulia kabla yake.

Waislamu tunamuamini Yesu na kitabu chake injili kwa sharti la nguzo ya imani haswa la kuamini mitume ya Allah
Yesu unamfananisha na Muhamad kweli?
 
Ni kweli Yesu siyo Issa ,lakini pia Yesu siyo Jesusu !
Je neno Yesu limetoka wapi na Jesus limetoka wapi ? na Issa limetoka wapi?

Ikiwa Mimi jina langu naitwa Kombo, inakuwje niitwe kikombe?
au nii twe Komba?
So what was his name? Huyu Mwana wa Mariam asiye na baba ,aliyezaliwa kwa Neo la Mungu ka Kuwa na akawa?

SEMA '',UKWELI UMEDHIRI NA UWONGO KUJITENGA,

MASWALI HAYA HAYAKUULIZW TANGU MUHMMAD (SAW) ALIPOKUWA HAI ,ETI LEO NDIOWATU WNAKANUSHA NA KUULIZA,IWEJE?
 
Back
Top Bottom