Quran: Huyu Issa bin Maryam ni nani? Kwanini aitwe hivi?

hili ni suala ambalo limekuwa likinitatiza sana. kwenye quran kuna nabii anaitwa Issa Bin Maryam. nmekuwa nikimsoma mara nyingi na kusoma hadith mbalimbali za quran. nachojiuliza ambacho naomba Mauramaa mnisaidie kwa nini huyu nabii aliitwa kwa jina la mama yake na si baba yake?

je katika uislamu kuna utaratibu huo?kuna nabii mwingine ambaye aliitwa kwa jina la mama yake badala ya la baba yake? tusaidiane tafadhali kwa namna ya elimu ya uelewa mzuri, kwa hikma na busara. pasipo jazba na kashfa.
Issa Bin Maryam ni moja ya nabii ktk wale nabii wa Mungu

Aliitwa Bin Maryam kwasababu uzaliwaji wake yeye ni tofauti na sisi,Adam na Hawa, yeye mimba yake ilipatikana pasina kuhusuka kwa baba

Na hili Ngoja nilitolee ufafanuzi kidogo

Wanadam wameletwa Dunia kwa njia nne tofauti tofauti kama ifuatavyo
1.Adamu, yeye aliubwa ndipo akapatikana

2.Hawa yeye alinyofolewa kutoka kwa Huyu Adamu

3.Issa Yeye alizaliwa na Mama lkn Mimba yake haikuhusika na Mwanaume

4.Mimi na wewe sisi tunazaliwa lkn mimba zetu baba na mama walihusika

Hivyo basi kwa kuwa Ktk Uletwaji wake Dunian baba hakuusika ndio sababu jina lake la pili anakua amechukua la mzazi wake alie mleta ambaye ni Maryam

Hivyo Anaitwa Issa mzaliwa wa Maryam (ISSA BIN MARYAM)

Na pia Hakuna nabii mwingine aliyefanyika kama Issa ktk kuletwa kwake Dunian, hivyo hakuna Nabii mwingine mwenye mfumo wa kimajina kama Aliokuwa nao Issa Bin Maryam

Tena ktk Uislam Mtoto ambaye atazaliwa nje ya Ndoa, jina la pili atachukua la Mama na si la baba, hii ni kusema kuwa mtoto huyo baba yake hana uharali nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza kabisa niwaweke waz kwamba huyo Isah bin maryam ni mtu tofauti kabisaaa na Yesu kristo.....in short Yesu kristo ni level nyingine kabisa na mziki wake duniani unaeleweka yaani ukilitaja hilo jina kwa mtu mwenye majin ndo utajua vzr jns majin yapatavyo tabu but kuhusu Issah ni hadith inayotia shaka kwakweli
Wewe baada ya kujibu hoja kwa facts unaleta ulokole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahala wewe nilikupa kazi moja na hutaki kuijibu.
Nakuuliza tena.
Salmin Rushdie, mwarabu mwislamu wa Omani ameiambia dunia kuwa
Qurani ni aya za Shetani. Badala ya kumjibu mmekifungia kitabu chake ili kisiendelee kisomwa na watu.
Na yeye mmemhukumu kuchinjwa hadharani hadi afe.
Sasa
1. Kwanini hamtaki kumjibu Rushdie kama kweli kasema uwongo ?
2. Kwanini mnamhukumu kifo badala ya kumjibu ?
3. Kwanini mmekifungia kitabu chake badala ya kuthibitisha kuwa amedanganya ?
Naomba nijibu kwa nia njema kabisa kwani sisi tunaona mmeshindwa kumjibu kwakuwa ni kweli Qurani ni Aya za Shetani Ibirisi.
Kwako mshahala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Spendi watu waongo halafu inaonekana umemezeshwa vitu bila uhakika angu lini SALMAN RUSHDIE akawa mwarabu halafu kingine huyu jamaa bado yupo hai na haishi oman halafu si muislam bali ni Atheist so kama unataka kutetea point zako basi uwe hata unaweka vitu vya kweli.
Screenshot_2018-08-24-10-32-32-1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute
Mkuu Issa haina maana ya Yesu kwa lugha yoyote ile,Issa ni jina lingine linalohusu kitu kingine na lilitumiwa na mtu mwingine kabisa....

Yesu kwa Kiarabu ni Yeshu,sawasawa kabisa na Yesu kwa Kiebrania ambayo ni Yesh'ua..

Sijui wanaosema Issa ni Yesu wanataka kusema nini,lakini hata sifa zao tu ni tofauti.Issa ni mtoto wa mwanamke aliyeitwa Mariamu,alizaliwa chini ya mtende,alikuwa ni binadamu na alitumwa na mungu anayeitwa Allah na hakufa...

Yesu kwa upande mwingine ni Mungu aliyevaa umbo la mwanadamu,alizaliwa kwenye hori la kulishia Ng'ombe,mama yake ni mwanamke aliyeitwa Mariamu,ni mwokozi wa wanadamu maana alikufa kwaajili yao
Acha uongo mkuu kama haujui lugha hebu jaribu ku mute unajua tunaojua kiarabu tunakucheka tu kwanza nikuambie kwenye kiarabu kuna hirabu(vowels) tatu tu nazo ni a,i,u hakuna e wala o bali kwenye lugha ya farsi inayoongelewa na watu wa iran kuna e na jua kuwa ki farsi si kiarabu bali kuna misamiati imechukua kwenye kiarabu sasa turud kwenye jina hilo yesu kwanza yesu kwa kiarabu inasomeka يسوع (tamka yasuau) na sio yeshu kama ulivyosema kwa kuwa kwenye neno yeshu kuna hirabu e kitu ambacho kinapelekea neno hilo kutoka kwenye asili ya kiarabu na kwenda kwenye kichina (chinese) yeshu kwa kichina 椰树 ( tanka yē shù) maana yake ni IDADI YA KURASA so mkuu sijui ulimaanisha kiarabu kipi hapo ?
Mkuu nimeku downgrade sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spendi watu waongo halafu inaonekana umemezeshwa vitu bila uhakika angu lini SALMAN RUSHDIE akawa mwarabu halafu kingine huyu jamaa bado yupo hai na haishi oman halafu si muislam bali ni Atheist so kama unataka kutetea point zako basi uwe hata unaweka vitu vya kweli.View attachment 845596

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa uko sahihi
Sasa wewe nakuuliza kwanini waislamu mmeamua kukifungia kitabu chake na kumhukumu kifo kama alichokisema ni cha uongo hakika ?
Mnataka kuificha nini dunia ?
Kwanini msimjibu badala ya kumhukumu kifo na kukifungia kitabu chake cha Satanic Verses ?
Kuna nini kibaya kinafichwa ?

Na nyie kwa nini mmeamua kutoa baadhi ya vitabu kwenye biblia na kusema havikuwepo mfano
-injili ya barnaba na
-kitabu cha enock ?
Ukinijibu hapo ntakupa jibu lako pia kwa kuwa naona unaona ni kitu cha ajabu mno

Mkuu kingine nina imani kabisa haujawahi hata kusoma hicho kitabu kwanza labda nikuelimishe kidogo wapi umeboronga

1.salman rushdie aliandika novel inayohusu maisha ya muhammad ambapo sehemu nyingi aliweza kuweka maneno ya dhihaka ma dharau (moja wapo ni kusema mtume muhammad (saw) alipokea aya zake kutoka kwa shetani iblis )kitu hiki alishindwa kuweka na ushahidi so ikawa kama ni dharau kwa imani ya kislamu kwa kuwa si ukweli unaujulikana ni kuwa mtume muhammad alipokea aya kutoka kwa mwenyezi mungu(sa) .
N.b
Deffinition ya novel according to oxford english dictionary ni
NOVEL:"a fictitious prose narrative of book length, typically representing character and action with some degree of realism".

Pia tunajua kuwa neno fictitious limetoka kwenye neno fiction ambalo kwa tafsiri ya kiswahili ni kitu kisicho na uhalisia.au tukienda kwenye oxford dictionary

FICTION:
1.literature in the form of prose, especially novels, that describes imaginary events and people.

2.something that is invented or untrue.

Sasa baada ya kujua tofauti na maana ya maneno hayo turudi kwa salman yeye aliandika novel kitu amabcho hakina uhakika na uhalisia so ni sawa na kusema alitukana imani ya watu kwa uwongo wa hadithi zake za kusadikika .

2.kuhusiana na hukumu kwanza jua kuwa hakuwahi kuhukumiwa saudi arabia na hakuwa muarabu huyu jamaa ni BRITISH-INDIAN.
So hukumu ilitoka wapi sasa ?
Hukumu ilitolewa na (Ayatollah Khomeini,) ambaye alikuwa kiongozi mkubwa wa iran(supreme leader) kwa kuwa jamaa aliamua kuupotosha umma na wakati anaujua ukweli tena kwa dhihaka na hadithi za uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie kwa nini mmeamua kutoa baadhi ya vitabu kwenye biblia na kusema havikuwepo mfano
-injili ya barnaba na
-kitabu cha enock ?
Ukinijibu hapo ntakupa jibu lako pia kwa kuwa naona unaona ni kitu cha ajabu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli
Injiri ya barnaba na Kitabu cha enock havijawahi kuwepo kwenya Biblia.
Na pia vitabu hivyo vipo mtaani na havijapigwa marufuku kusomwa na mtu yoyote.
Na pia waandishi wa vitabu hivyo hawajawahi kuhukumiwa kifo.
Ukienda duka la vitabu utavikuta na ukihitaji kuvisoma utauziwa kwa bei iliyopo.
Tofauti na Satanic Verses,
Mnalazimisha Serikari ikipige marufuku na imkamate mwandishi wake impeleke Iran akanyongwe hadi afe.
Hapo mimi ndio nashikwa na kigugumizi kwanini maamuzi hayo yote.
Mbona Injiri ya Barnaba ipo tu mtaani hata mimi nilikuwa nacho kabla ya kukipoteza na sio jinai kuwa nacho.
Kama Rushdie kasema uwongo si mkiache tu kitabu chake kiuzwe anayekitaka atasoma asiyetaka atakiacha.
Kama ilivyo kwa vitabu vya Enock na Injiri ya Barnaba ?
Kitabu kimesema uwongo, sawa, sasa mbona mnakiogopa sana, na kuzuia sisi wengine kukisoma kwa lazima.
Elimu ni bahari ndugu, Bilbia imeandikiwa vitabu vingi sana vya kukipinga na vyote viko mtaani halijafungiwa hata kimojawapo.
Mwisho wasiku vyote vimedharaulika.
Hicho cha Rushdie mmekipa sifa sana na watu wanakitafuta sana waone kina nini cha ajabu.
Hebu mkiruhusu ili tukisome tuone kina nini.
Kitu cha uwongo halafu mnahangaika nacho chanini sasa.

Soma post namba 194 halafu tutaendelea kwenye hivyo vitabu vilivyoondolewa kwenye bible.
Kwa kuwa naona unazidi kukariri .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa uko sahihi
Sasa wewe nakuuliza kwanini waislamu mmeamua kukifungia kitabu chake na kumhukumu kifo kama alichokisema ni cha uongo hakika ?
Mnataka kuificha nini dunia ?
Kwanini msimjibu badala ya kumhukumu kifo na kukifungia kitabu chake cha Satanic Verses ?
Kuna nini kibaya kinafichwa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilishakujibu hiyo ni serikali ina mamalaka na taratibu zake inazo simamia sasa ukisema waislamu mmeamua unakuwa unashangaza sasa kwakweli muhimu ni kuheshimu mamlaka za watu mbona wakina gigy wakivaa vichupi hapa kwetu wanafungiwa lakini wakina Rihana mambo Saaaaaaaaaaaafii tunaangalia tu bila malipo
 
Sio kweli
Injiri ya barnaba na Kitabu cha enock havijawahi kuwepo kwenya Biblia.
Na pia vitabu hivyo vipo mtaani na havijapigwa marufuku kusomwa na mtu yoyote.
Na pia waandishi wa vitabu hivyo hawajawahi kuhukumiwa kifo.
Ukienda duka la vitabu utavikuta na ukihitaji kuvisoma utauziwa kwa bei iliyopo.
Tofauti na Satanic Verses,
Mnalazimisha Serikari ikipige marufuku na imkamate mwandishi wake impeleke Iran akanyongwe hadi afe.
Hapo mimi ndio nashikwa na kigugumizi kwanini maamuzi hayo yote.
Mbona Injiri ya Barnaba ipo tu mtaani hata mimi nilikuwa nacho kabla ya kukipoteza na sio jinai kuwa nacho.
Kama Rushdie kasema uwongo si mkiache tu kitabu chake kiuzwe anayekitaka atasoma asiyetaka atakiacha.
Kama ilivyo kwa vitabu vya Enock na Injiri ya Barnaba ?
Kitabu kimesema uwongo, sawa, sasa mbona mnakiogopa sana, na kuzuia sisi wengine kukisoma kwa lazima.
Elimu ni bahari ndugu, Bilbia imeandikiwa vitabu vingi sana vya kukipinga na vyote viko mtaani halijafungiwa hata kimojawapo.
Mwisho wasiku vyote vimedharaulika.
Hicho cha Rushdie mmekipa sifa sana na watu wanakitafuta sana waone kina nini cha ajabu.
Hebu mkiruhusu ili tukisome tuone kina nini.
Kitu cha uwongo halafu mnahangaika nacho chanini sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahaja malalamiko yako hayana msingi kwasababu kimefungiwa omani sio dunia nzima anaweza kwenda nchi nyingine akakitoa sasa unalalamika kitu gani ndugu? mbona trump alizuia nchi zenye waislamu wengi wasiende marekani na watu wakaheshimu uamuzi huo wa serikali ya marekani sijui hata kwanini uamuzi wa serikali ya oman au iran wewe unashindwa kuheshimu unachanga serikali ya oman na waislamu wote ebu tumia akili kidogo, iran na oman ni nchi tu anaweza kwenda uingereza akatoa kitabu chake ukakisoma suala la utii wa sheria za nchi husika ni lazima
 
Mimi silalamiki Bosi wangu ila nataka kuondoa mashaka ambayo wapinga Uislamu wanayaonesha.
Kama kweli Uislamu hauna mashaka kwanini basi hata huko Irani na Omani wakifungie hicho kitabu ?
Hicho kitabu kwa taarifa yako kimepigwa marufuku dunia nzima hata hapa Tanzania.
AU unaweza kunionesha duka ambalo hicho kitabu kinauzwa hapa Afrika Mashariki nikakinunue ?
Nina uhakika hakuna duka hilo kabisa. Unajua ni sababu gani ?
Kitabu hicho ukikutwa nacho popote na ukaonekana na ukaripotiwa Polisi, unakamatwa kwa kosa la Jinai na unaadhibiwa vikali.
Waislamu wa siasa kali wakikuona nacho popote pale sijui kama hata huko Polisi utafika maana hicho kisago utakachoshushiwa sio cha kubaki hai tena.
Ndio maana huoni popote mtu amekishika hicho kitabu.
Wanaogopa usalama wao kutoweka.
Sasa ndio nauliza tu hiyo nguvu yote ya kukificha ni ya nini ?
Inaoneka kuna ukweli na haitakiwi watu waujue huo ukweli.
Vitabu vinavyokashifu Biblia na Ukristo viko vingi tu mbona havipigwi marufuku popote duniani na vinabaki kukosa soko na kupotea.
Kwanini Satanic Verses inalindwa kwa nguvu kubwa namna hii ili isisomwe na watu ?
Kwanini kiachwe tu kiuzwe na kwakuwa kinasema huo uwongo kitaishia kukosa soko na kupotea chenyewe.
Kama kweli kinasema uwongo ?
Woga unatoka wapi ?

Ndugu yangu ata Roma wamekipiga marufuku? au ata marekani au uingereza wamekipiga marufuku mkuu acha masikhara aisee ww kitafute utakipata hizo nchi nilizokutajia waislamu ni wachache sana haiwezekani kufungia hicho kitabu jibidiishe mkuu utakipata kama kweli unakitaka lakini kwa nchi kama omani au iran inawezekana huwezi kupata kwasababu huko waislamu ni wengi lakin kwa baba mtakatifu ( Roma) utakikuta kaka Jitahidi
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom