Hivi Erickb52 hushangai mikono yake imetetemeka hata kuandika ameshindwa eti mpaka anamtuma Baba V akaandike
Kwani yeye Dena Amsi hana mikono au key body yake imepata matege au macho yake yamepata makengeza
HApo alipo analilia maumizu kuona ile thread ilivyoandika Dena Amsi popote ulipo hebu kanusha ile siredi
Unaona waliokudanganya akina Erickb52, Arushaone, Baba V na Mungi na Filipo wote wanakutaka na mpaka watu8 nae yumo
Last edited by a moderator: