Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,651
Last edited by a moderator:
wewe mama Passio
siku hizi nawe mwandishi wa habari wa gazeti la udaku la chit chat?
ha ha ha..unataka pawake moto
ndio raha yangu
moto uwake, faya wachelewe
eneo la tukio,mi burudaniiiiii!
alaf ww unakaa pembeni ukiangalia ..duuh
ana sumaku ya kuwanasia eti?..wamefika wangap?
i salute him 2!
na apo ukute ana mpango wa kuongeza idadi
ana sumaku ya kuwanasia eti?..wamefika wangap?
ndio raha yangu
moto uwake, faya wachelewe
eneo la tukio,mi burudaniiiiii!
Hahahahahaha,waje tuuu na akina meku wote!!