Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,290
- 108,309
Hahaha nadhani unataka kuona vumbi ikitimka ndani ya maji...
unamwita mdogo wako akati anajitapa alikuwacha ulikuwa sweetheart????sijakusikia siku nyingi,
upo salama mdogo wangu?
ha haaa, alikuwa anakuzuga wewe ili umkubali kiurahisi, lol!unamwita mdogo wako akati anajitapa alikuwacha ulikuwa sweetheart????
watu8 acha tuu litimke ila si nimesema kweli aise na wewe uko mwenye msafara wa kumtaka Dena AmsiHahaha nadhani unataka kuona vumbi ikitimka ndani ya maji...
Mie mtoto Mr Rocky nimezaliwa leo sijakuelewa ujue.