Quote of today

Quote of today

Wabongo bwana!
Kwanini usitumie Kiswahili ueleweke?

Maana ya msemo huo ni hii kwamba, ''ni bora kuzaliwa kama mtu wa kawaida tu anayefanana na maskini wenzako lakini katika hali ya furaha na kuridhika kuliko ukawa tajiri lakini mwenye majonzi tele.''
 
acha kutujazia server humu nani hajui tafsiri kwa kiswahili
 
::
Fumbua macho yako kabla ya kuoa,,ukioa yafumbe nusu !!
=
 
When you argue with someone who is wiser than you so that others will admire your wisdom, they will discover your ignorance.
--- Saad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom