Ngoja nimdipu Papa Francisco wa 1 atusaidie
Yap!Sio kwenye ile mifuko ya sijui yenye harufu ya strawberry sijui banana hainogi!
Maana yake ni kwamba kama jambo zuri ulilokuwa unalitegemea limeenda ndivyo sivyo, basi ujue kuna jambo jingine zuri zaidi ya hilo linakuja.
Maana yake ni kwamba kama jambo zuri ulilokuwa unalitegemea limeenda ndivyo sivyo, basi ujue kuna jambo jingine zuri zaidi ya hilo linakuja.
swadaktaaa!ndo uzuri wa kuwa na walimu karibu huousikasirike kuachwa na Mungu, wala usishangae kurudiwa naye.
''A blush on the face is better than a blot on the heart''.