Quote of today

Quote of today

Mwalimu wangu Madame B naomba tafsiri ya hiyo quote of the day.................. wengine huku kwenye kata tumetoka kapa

Maana yake ni kwamba kama jambo zuri ulilokuwa unalitegemea limeenda ndivyo sivyo, basi ujue kuna jambo jingine zuri zaidi ya hilo linakuja.
 
ah ah ! Mkuu umeamua kuniwekea vikwazo? Alafu ni List ipi hiyo? au unaweza nisaidia kuiweka ...

nilikuwa na maanisha yeye niwangapi? je, mimisa yupo kwenye best 300 yako?
 
Last edited by a moderator:
mh! 500 ? nitakata rufaa hapa naona una ajenda ya siri
kuna taarifa zinasema mimisa yupo kwenye best 500. labda aje athibitishe............... wanasema eti wewe ni zaidi ya Mwatti III
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha..my manoah..ivi mbna wanakusakama ivi.....mimi na ww maji kama maji na samaki

mimisa asante kwa PM yako................... nimeipenda, na ninanukuu "Mungi usijali nipo nakuja kwako si muda mrefu, achana na manoah nampotezea tu muda huyu"
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom