Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
hajabatilisha tangazo lake la miezi 36..bado..
mwambie ashindwe na alegee!
atakosa mke ohoooo!
hajabatilisha tangazo lake la miezi 36..bado..
mwambie ashindwe na alegee!
atakosa mke ohoooo!
Sasa unaguna nini?
Kwani unadhani hayo maziwa yanamtosha unapokuwa umeenda sokoni atakunywa nini Kipipi ?
BTW
Mzima wewe?
Tatizo la mimisa hataki kusikia ushauri................ kweli sikio la kufa......................
''If something good fades away, something better is on the way.''
Hii lugha ya kuletwa na meli samtaim ni majanga matupu.
Ila ngoja walioipokea hiyo lugha siku hyo Bandarini waje, watatuelewesha.
Doshito nxangimbona
Hii lugha ya kuletwa na meli samtaim ni majanga matupu.
Ila ngoja walioipokea hiyo lugha siku hyo Bandarini waje, watatuelewesha.
Afu wewe, kwanini ukionaga namba mpya ya simu inakupigia hupendi kupokea?
Au mgoni?
Ushakula vya watu e!
Hujanipigia ila unetuma sms kuwa nikulipie sh 45 nami nikaaccept
Mwalimu mie na wewe mwanafunzi wangu wote tumetoka kapa.
ahaaa..basi sawa