Quote of today

Quote of today

ah ah! mbona sijaona pm iliyotumwa kwako? maana ID yake hua naingia na yangu pia anaingia any time, kwasababu kila mmoja anajua pasword ya mwenzake..
mimisa asante kwa PM yako................... nimeipenda, na ninanukuu "Mungi usijali nipo nakuja kwako si muda mrefu, achana na manoah nampotezea tu muda huyu"
 
Last edited by a moderator:
ah ah! mbona sijaona pm iliyotumwa kwako? maana ID yake hua naingia na yangu pia anaingia any time, kwasababu kila mmoja anajua pasword ya mwenzake..
mimisa kanitumia nyingine tena............... angalia vizuri
 
Last edited by a moderator:
Kinyume chake ni wewe ah ah ah! ngoja mkeo mkubwa aje hapa akukute
Sasa we unajaza mabasi matano ya abiria wakati mwenzio hata kwenye bodaboda yangu sijapakia mishkaki we vipi? mimisa kuja kipande hii
 
Last edited by a moderator:
Not necessarly it just means what faded was not mean to last any further.
To get somethin better is for the person to find it!
Always this's hope, and to live we must keep it.
 
Maana yake usikatae ukitongozwa,mkubalie yoyote,umepewa bure toa bure!

Eiyer mbona umesahau mstari wa mwisho , kwamba anatoa bure afu finyango kwa finyango! (fileti kwa fileti au salala kwa salala)
 
Last edited by a moderator:
Eiyer mbona umesahau mstari wa mwisho , kwamba anatoa bure afu finyango kwa finyango! (fileti kwa fileti au salala kwa salala)

Yap!Sio kwenye ile mifuko ya sijui yenye harufu ya strawberry sijui banana hainogi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom