William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #101
CAG amekuwepo tangu mwanzo wa Jamhuri. Nakumbuka miaka ya 70 CAG alikuwa anakuja kufanya ukaguzi katika ofisi za ubalozi wa Tanzania nchi za nje ikiwemo ya hapa Washington D.C. Tofauti ya sasa na wakati huo ni kwamba a/ ubadhirifu wa mali za umma umekithiri kupita kiasi, na b/ mwundo wa bunge letu hivi sasa si tofauti. Ripoti za CAG bunge limekuwa linapewa mbona hawakupiga kelele mwaka 2007?
- Yaaani CAG kumbe ilikuwepo toka miaka ya 70? Sasa iweje wengine tuisikie kwa mara ya kwanza majuzi aliposhika Urais Dr. Jk, I mean unasema huko nyuma hakukuwa na wizi? Then how come haikuwekwa wazi tukaiona wote kama sasa?
William.