Langu
Member
- Nov 20, 2011
- 37
- 9
Habari za asubuhi wapendwa wana JF,
Kuna phrase hasa kwenye Law of Contract inaitwa Quid Pro Quo ikiwa inamaanisha Nothing goes for Nothing.
Kwangu mimi hii phrase nimekua nikiichukulia na utata na kama inaweza leta negative effect kubwa ikitafsiriwa hasa na mtu asiyejua sheria (layperson) na hata kwa anayejua sheria mara nyingine, sababu naona inaweza leta visasi either kwa walioingia mikataba na ikashindwa kutekelezwa kama inavyostahili.
Au kuna maana zaidi ya mimi ninayoiyua ya hii phrase?
Kwa mwenye uelewa zaidi, tujadiliane na tuweze jiweka sawa kwa baadhi ya maneno ya kisheria na maana zake halisi.
Karibuni.
cc: Avemaria, Nameless girl, Nyani Ngabu and others