Quid Pro Quo, Maana yake Halisi

Langu

Member
Nov 20, 2011
37
0
Habari za asubuhi wapendwa wana JF,

Kuna phrase hasa kwenye Law of Contract inaitwa Quid Pro Quo ikiwa inamaanisha Nothing goes for Nothing.

Kwangu mimi hii phrase nimekua nikiichukulia na utata na kama inaweza leta negative effect kubwa ikitafsiriwa hasa na mtu asiyejua sheria (layperson) na hata kwa anayejua sheria mara nyingine, sababu naona inaweza leta visasi either kwa walioingia mikataba na ikashindwa kutekelezwa kama inavyostahili.

Au kuna maana zaidi ya mimi ninayoiyua ya hii phrase?

Kwa mwenye uelewa zaidi, tujadiliane na tuweze jiweka sawa kwa baadhi ya maneno ya kisheria na maana zake halisi.

Karibuni.

cc: Avemaria, Nameless girl, Nyani Ngabu and others
 
Hilal Mjuni

Member
Aug 16, 2013
13
0
Mimi kwa uelewa wangu hio phrase inamaanisha wakati mkataba unapofanywa lazima "consideration" iwepo, yaani lazima pande zote mbili zibadilishane bidhaa, huduma n.k
 
Langu

Member
Nov 20, 2011
37
0
Mimi kwa uelewa wangu hio phrase inamaanisha wakati mkataba unapofanywa lazima "consideration" iwepo, yaani lazima pande zote mbili zibadilishane bidhaa, huduma n.k

Let imagine mwingine hajafanya consideration ya mwenzie, huyu ambaye hajatimiziwa kaenda kushtaki na hakakosa...will it be real?

Maana yake ni kwamba Huwezi kula bila kuliwa! Tena unaliwa kwa kiwango sawasawa na unachokula.

Ndo hapo mwingine kashindikana kuliwa, what will be the game kwa hii phrase
 
nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,150
2,000
Kwa jinsi ninavyoweza kuliongelea hilo neno (Quid Pro Quo), moja kwa moja lazima nihusishe consideration hapa. Mkataba lazima uwe enforced by law. Nikikupa gari yangu mimi mwenyewe kwa kupenda kwangu, then nikaamua kulichukua kwa nguvu kwamba nimeghairi kukupa, huo si mkataba na wala haiwezi kuwa enforced by laws.

Nothing goes for nothing, ina positive effect kwasababu, mkiingia mkataba, ni lazima kila mmoja atoe kitu kwaajili ya kufanya exchange. l give you my house, you give me money.

Nikibreach contract, ina maana utakua umepata loss ambayo itakufanya uwe na nguvu ya kusema "ameninyang'anya haki yangu" tofauti na gari ya bure, nitakapoghairi, unaweza kusimama na confidence zote kusema ilikua ni haki yako?

So kwenye mkataba wowote, lazima kuwe na Quid pro Quo.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
53,241
2,000
Something for something, tit for tat, there's no free lunch,kula na kulipa ndio mtindo wa kisasa, hakuna cha bure, muosha huoshwa, every action has an equal and opposite reaction.
 
Thaks for your contribution Nameless, Endelea kutujenga na mada mbali mbali hapa JF

Something for something, tit for tat, there's no free lunch,kula na kulipa ndio mtindo wa kisasa, hakuna cha bure, muosha huoshwa, every action has an equal and opposite reaction.

Ha ha, toa hata illustrastion mkuu....
 
Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,139
2,000
Hiyo Quid Pro Quo anaijui uzuri, yule Bwana alikuwa Gavana wa Illinois, Gov. Rod Blagojevich!.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom