Question- wasukuma and Love relations

Question- wasukuma and Love relations

Wasukuma acheni kutuharibia soko hapa mjini au mnataka tukose wa kuoa.
 
mimi nawapenda wanawake wa kisukuma mizigo ilivyojazia nyuma, tatizo lao ukiwatongoza wanajidai kukurembea kiasi cha kwamba unaweza kumkinai hata kabla ya kuchambua deshi deshi.
 
Yeah ofcourse you are getting on the right truck....bt uwa hawataki kuzinguliwa although ni wacheshi, smart, caring, gentlemen n.k
 
tatizo la wanawake ni kututesa sisi wapole, hata huwa sijui mnataka nini? ukimpata mkorofi na mwenye amri unaona tatizo, ukimpata huyo mpole badala ya kumheshimu na kumpenda ndo unageuka mtesaji. saikolojia ya wanawake ni ngumu sana

kweli mkuu
 

Attachments

  • 1395062695612.jpg
    1395062695612.jpg
    7.6 KB · Views: 271
Halafu ni mihandsome mnoooo. Mieusi, mitamuuuuu. Huyo alikuwa na lips hizo balaaaaa. Macho je? Na very smart upstairs. Wala hachoshi. Dinazarde

Mmmmm nimepaliwaa aisee ntarudi baadaee
 
Last edited by a moderator:
Ni dili only if it's worth the risk i.e. the sidepiece is on the same level with your spouse if not better.

Other than that settling for less than what you currently have isn't worth the risk, in my opinion.

Hivi wanapofundishia English koz ni wapii nna hasira sanaa!???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom