Question- wasukuma and Love relations

Question- wasukuma and Love relations

Ni dili only if it's worth the risk i.e. the sidepiece is on the same level with your spouse if not better.

Other than that settling for less than what you currently have isn't worth the risk, in my opinion.
Sawa Mwalimu

[video=youtube_share;8-WFNbMohTQ]http://youtu.be/8-WFNbMohTQ[/video]
 
they are great lovers for sure

ila tu usiwe na mkono wa birika...hasa kwenye suala la vyakula

mie nimeolewa na mjita...mapenzi miaka mia nane..yaan wanajua kupenda jamani...ila wakija ndugu,,wanakula hao jamaniii...pika chochote lakini ugali usiache...maana ugali ndio kila kitu kwao...but...mapenzi wanayajua...mwanaume mpk anakulilia machozi mwanamke...yaani raha iliyoje kumuona mwanaume analia..
 
Kuna mmoja msukuma alikuwa ana date dada yetu, kila siku yeye hana hela!!! Kuna wakati alitaka eti dada yetu ampatie hela kama 3m wakati huo ili aongezee mtaji wa biashara. Bahati nzuri nyumbani tuna tabia ya kushirikishana mambo!!! Tukwamwabia subiri kwanza, mwambie huna kwa sasa!!! Taratibu mawasilano yakaanza kufifia!!! Wengine siyo, wako kistrategy zaidi. Hata makabila mengine wapo wanaume design hii.
 
mmmmh bc m nlokuwaga nae n tofauti au mtoto wa nje.....khaaa kaka kwanza yuko tft na wanaune naomba niishie hapo ila m nlokutana nae nooo he was the worst
 
He he he, ushakuna na breed ya msukuma na mjita? Utapata mapenzi daraja la kwanza.

Dude hilo limeenda hewani, lina uwezo wa kukubeba kama mtoto.

Kule tuna msemo 'shizugile shitashokaga ku kano', wee pika tu mama, uone uvivu kupika, je anayeenda kusaka hicho chakula afanyeje?

mie nimeolewa na mjita...mapenzi miaka mia nane..yaan wanajua kupenda jamani...ila wakija ndugu,,wanakula hao jamaniii...pika chochote lakini ugali usiache...maana ugali ndio kila kitu kwao...but...mapenzi wanayajua...mwanaume mpk anakulilia machozi mwanamke...yaani raha iliyoje kumuona mwanaume analia..
 
Viva89 Kama huyo mchumba wako ni msukuma wa shinyanga basi jiandae kugombana na mawifi zako make dada zangu wa kinyantuzu hawanaga ustaarabu hupenda kujisikia sana na mara zote huingilia privacy za kakazao kuhusu marriage hasa kama wifi ni deep-black-coloured!
 
Last edited by a moderator:
umeona ee...we wape kula tu washibe...watakupenda mpaka basi..ndo ukarimu wenyewe huo..heko my brothers
mie nimeolewa na
mjita...mapenzi miaka mia nane..yaan wanajua kupenda jamani...ila wakija
ndugu,,wanakula hao jamaniii...pika chochote lakini ugali
usiache...maana ugali ndio kila kitu kwao...but...mapenzi
wanayajua...mwanaume mpk anakulilia machozi mwanamke...yaani raha
iliyoje kumuona mwanaume analia..
 
mmmmh bc m nlokuwaga nae n tofauti au mtoto wa nje.....khaaa kaka kwanza yuko tft na wanaune naomba niishie hapo ila m nlokutana nae nooo he was the worst

Pole.
Sio kila siku ni jumaatatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom