Question- wasukuma and Love relations

Question- wasukuma and Love relations

Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.

tegemea kuwa na mwenzako kama sio wenzako,
kwao nyumba ndogo ni muhimu!
 
Sio kwa dunia ya leo hizi habri za tribe perpertual mbona mnaziendekeza sana?
Suala la mapenzi ni pana kuliko tufikiriavyo ila ntakubalina na moja kuwa wasukuma sio wachoyo na wanapenda watu so angalia kama utamatch nao.

ni kitu cha kuangalia tu..old skul
 
dear Viva89,

oleho??

surely upande wetu wa kaskazini, kuanzia wasukuma, wakurya, nk.. true love sio ya kuuliza.. huo ni wajibu wetu kupenda kwa dhati kabisa..!
nakbaliana nawe ila kwa wakurya sijui sana........ ila dah hiyo geography yako mh siisomi..... (waskuma kaskazini???)
 
Wasukumaa wenzangu hoyeeeeeeeeeeeeeee
Wenye waume wasukuma kama miee juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kwa kifupi wasukuma wapo vzur kwa tabia... the understand well whats love complies hasa wanawake so wa kiume
 
they are great lovers for sure

ila tu usiwe na mkono wa birika...hasa kwenye suala la vyakula

Kwa kuongezea tu, in short wanajua na wanapenda kula so jiandae kuspend almost 1m kwa msosi tu.
 
Yaaan kiukweli naenjoy nae kinoma nilikuwa sina lengo la kuoa but nitaoa coz am enjoying being together al de time... hongera wasukuma
 
Wasukuma ni washamba na mazezeta kwenye mapenzi tena ukiwakamata vizuri unajenga kwenu halafu hawatahiriwi.
 
Wasukuma ni washamba na mazezeta kwenye mapenzi tena ukiwakamata vizuri unajenga kwenu halafu hawatahiriwi.

wewe una utani na wasukuma kwani mila za kisukuma zinakataza kutahiri? huo ni uamuzi wa mtu,uzezeta labda ulikutana na zezeta hata hivyo kila kabila lazima ukute zezeta mfano wa kwanza ni hilo kabila lako,kwamba unajenga kwenu yaa hakuna shida maana ndo Mungu katupa ukarimu kusaidia wenye shida tutaendelea kuwasaidia.
 
Wasukuma ni washamba na mazezeta kwenye mapenzi tena ukiwakamata vizuri unajenga kwenu halafu hawatahiriwi.

Mmmh mpyaa hawatariwi ushawah kukutana nao wangapi wa hivyo labda wasukuma wa uchaganiii sio wa Mwanza,shinyanga,Taboraa
 
God Always listens and He works in mysterious ways, never forget to say Thank You to The Almighty

Mkuu weka picha inayoonesha wasukuma with their 'great love'! Baada ya hapo mtoa mada awalinganishe na wakurya ili afanye maamuzi sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom