Question- wasukuma and Love relations

Question- wasukuma and Love relations

Sio kwa dunia ya leo hizi habri za tribe perpertual mbona mnaziendekeza sana?
Suala la mapenzi ni pana kuliko tufikiriavyo ila ntakubalina na moja kuwa wasukuma sio wachoyo na wanapenda watu so angalia kama utamatch nao.
Tumeishiwa hoja
 
tatizo la wasukuma ni moja ni WANAFIKI sana
na kuwagundua inakuwa ni ngumu mpaka uishi nao
yaani kwa kupenda sawa ila huo
UNAFIKI utawaondolea sifa yao

Vipi kuhusu mfumo dume; wanao au wameuweka pembeni?
 
hivi bado zama hizi za utandawazi kuna ile ya kuuliza kabila fulani wanafanya hivi wanafanya vile?
1. Watanzania tumechanganyika sana ina search a way ni ngumu binadamu kufata ile uhalisia wa makabila yao hasa hasa kama wamezaliwa na kukulia mjini tabia zinakua zakimjini mjini maadili nehi.
2. Ukiuliza hapa kila mtu atakujibu kutokana na experience yake, kwa mfano mimi niliolewa na kutendwa na msukuma unategemea jibu langu hapo litakuwaje?????

Therefore as MankaM said ukimchambua bata....

My advise, follow your heart (mi nimejipatia mpopo sitaki hata kuuliza habari zao...:hat:
 
Mkuu weka picha inayoonesha wasukuma with their 'great love'! Baada ya hapo mtoa mada awalinganishe na wakurya ili afanye maamuzi sahihi.

bolt-betty.jpg
 
hii kauli inaonyesha ni jinsi gani u mbinafsi.....wasukuma nadhani ndo wanaume pekee waliobaki wanaojua ni nini na ni namna gani ya kumpenda mtu...na suala la kutahiriwa ni kweli..zamani haikuepo hiyo,lakini kutokana na kuongezeka kwa athari na magonjwa sasa hivi wanatahiri..( chuu,bha siza bhane bhajikwe ukunu bhalisimiza,u bhebhe uligenehe shi.ala)
Wasukuma ni washamba na mazezeta kwenye mapenzi tena ukiwakamata vizuri unajenga kwenu halafu hawatahiriwi.
 
itakua kuna jambo ulimfanya..si bure
tatizo la wasukuma ni moja ni WANAFIKI sana
na kuwagundua inakuwa ni ngumu mpaka uishi nao
yaani kwa kupenda sawa ila huo
UNAFIKI utawaondolea sifa yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom