Well wellBei zako nafuu sana, ningekuwa nahitaji ningekutafuta.
Kumbe chief una stockYamegombewa na madalali mzigo unakaribia kwisha
Mkuu unasema gharama ni kubwa ukilinganisha na madirisha gani?
Je nini hasa kinachosababisha bei kupanda kwa kasi ukilinganisha na mwaka mmoja uliopita?kila kukicha Bei zinapanda, hasa hasa kioo
Mishe tu mwananguKumbe chief una stock
1.2*2.10 bei gani?Bei zako nafuu sana, ningekuwa nahitaji ningekutafuta.
Risasi au gloli ya manati haipenyi!?More security
Kumbe hali imetengemaa. Nifufue karakana yangu ya aluminium.Kua makini Boss, sasa hivi Aluminium, upvc na vioo bei hazishikiki, Mimi ni technician na pia muuzaji wa materials, kila kukicha Bei zinapanda, hasa hasa kioo, vituo vingi vya polisi vimejaa kesi za mafundi Aluminium na vioo.
Urembo wa nini?Izo sawa lkn sasa kioo icho sio poa hakivutii..at least kingekuwa na urembo
Technician naomba nikuulizeKua makini Boss, sasa hivi Aluminium, upvc na vioo bei hazishikiki, Mimi ni technician na pia muuzaji wa materials, kila kukicha Bei zinapanda, hasa hasa kioo, vituo vingi vya polisi vimejaa kesi za mafundi Aluminium na vioo.
Asante mkuu kwa reference.. naona bei ipo affordable sana .. kumbe hapo nikiwa na kama Milioni 4.5 nimemaliza issue za madirisha?5*5 - 350,000/- . 4*6 - 280,000/-. 6*6 - 450,000/-. 2*2 - 220,000/-
Hiyo bei ni kwa moja hivyo zidisha kwa idadi yako
Hiyo bei ya mwezi wa 9 mkuu rudi ufanye research upya haya madude yana disappoint sana.Asante mkuu kwa reference.. naona bei ipo affordable sana .. kumbe hapo nikiwa na kama Milioni 4.5 nimemaliza issue za madirisha?
Asante mkuu kwa reference.. naona bei ipo affordable sana .. kumbe hapo nikiwa na kama Milioni 4.5 nimemaliza issue za madirisha?