Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,636
- 860,805
Bei nzuri hii5*5 - 350,000/- . 4*6 - 280,000/-. 6*6 - 450,000/-. 2*2 - 220,000/-
Hiyo bei ni kwa moja hivyo zidisha kwa idadi yako
Atakuwa Analinganisha Na Ya Mbao Za MiembeMkuu unasema gharama ni kubwa ukilinganisha na madirisha gani?
Private message haiji kwako. Nahitaji 6*6
TakuchekiPrivate message haiji kwako. Nahitaji 6*6
Ha ha haa.Risasi au gloli ya manati haipenyi!?
5*5 - 350,000/- . 4*6 - 280,000/-. 6*6 - 450,000/-. 2*2 - 220,000/-
Hiyo bei ni kwa moja hivyo zidisha kwa idadi yako
Bado ziko hivyo mkuuMkuu bei zako bado ni hizi hizi au kuna mabadiliko?
Hukunipa jibuBado ziko hivyo mkuu
Naomba uniwie radhi sana ulikuwa unahitaji mangapi?Hukunipa jibu
7Naomba uniwie radhi sana ulikuwa unahitaji mangapi?
ready made unamanisha used?Mimi ninazo ready made na kwa bei poa kabisa madirisha na milango first class na yote ni double glass.
Ndioready made unamanisha used?
Dirisha la pvc huwa linaungwa na mashine maalum mkuu ita fundi aliunge upyaTechnician naomba nikuulize
Hivi ikitokea dirisha la Pvc likilegea ktk maungio yake Je litakuwa imara kweli endapo ule uwazi ukazibwa na silcon?
Kuna madirisha ya pvc nilichukua mahala, sasa wakati wa kuya install fundi akawa analigonga kwa nyundo then ktk yale maungio yake ya chini upande wa kushoto likalegea kuacha uwazi, jamaa akaniambia ataziba na silcon au white cement.. Je akiziba ilo dirisha litakuwa imara kweli?
Brother, kwema?Yalishaisha mkuu