Putin atinga Kremlin ghafla

Ongeza volume
 
Yote yalitokea baada ya Ukraine kujihusisha na NATO na kwenye mikataba waliyoingia na Russians ilikuwa hairuhusu kuwakaribisha hao jamaa wakamlaghai kuwa hata akivunja Russia hawawezi kumfanya kitu ikachukuliwa Crimea na sasa hv donbass waliomuahidi kumsaidia wanamtumia tu silaha kwenda hawaendi.
 
Utaje mkataba mmoja, tarehe uliyosainiwa , waliousaini na mahali uliposainiwa huo mkataba.
 
Ujamaa ni mzigo bado kushawishiana kua washirika hawawezi Hadi kutumia nguvu kupokonyana ardhi
 
Hiyo ni timing ya kumla Kobe🏃🏃
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…