Putin atinga Kremlin ghafla

We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?
Hawa warus wa jamii forum vilaza sana mkuu ,hawaelew hata chanzo cha hii vita wanaropoka tuu ila kwa kuwadokezea Ukraine ndio chimbuko la taifa la urusi ,tena lilichipukia jiji la kyiv.hivyo hii vita wanaojua sir ni Putin na wazee wa nchi ,wala ishu ya kuweka jeshi Ukraine halimsumbui Russia ,kiufupi haya mataifa mawili yana mengi tusiyoyafahamu
 
Hawa Warusi wa buza wanarudia propoganda za Putin kama Kasuku tu na ushabiki wa Simba na Yanga.

Ukiwauliza wapi Ukraine ilisema au ilituma maombi ya kujiunga na NATO hawana majibu.

Ukiwauliza kwa nini Finland ambayo imetuma maombi rasmi ya kujiunga na NATO haijavamiwa na Putin mpaka sasa wanatoa macho tu kama mjusi aliyebanwa na mlango.
Sababu za rusia kuivamia Ukraine kisa hawataki wajiunge NATO hazina mashiko kwa sababu Rusia ana majirani wanao share mipaka kama poland na Estonia ambao wako NATO
 
Mbona Estonia na Latvia ni majirani wa Russia walio NATO na hajawavamia mpaka sasa??

Mbona Finland imeomba kujiunga na NATO na hajaivamia mpaka sasa??

Kwa nini Ukraine ambayo haijawahi hata kusema inataka kujiunga NATO??

Jamaa huwa wanakurupuka vitu ambavyo wanaaminishwa vijiweni, mara Ukraine inatawala kwa mashoga duniani, mara inataka kujiunga NATO.
 
Sasa unasemaje wengine Hawajui,wakati hata menyewe unasema yapo mengi tusiyo ya sahau
 
Sasa unasemaje wengine Hawajui,wakati hata menyewe unasema yapo mengi tusiyo ya sahau
 
Vita ya kipumbavu, wenye akili wame mpuuza ndio maana sasa hivi hakuna anae iongelea
Marekani kapigana vita za kipumbavu kabla ya ww kuzaliwa, ni taifa jinga duniani hakuna mfano wako, ni taifa lililouwa watu hakuna mfano wake, ni taifa lililotumia Nuclear pekee kwahio unasemaje kuhusu hili, halafu mukiitwa manyani huwaga mnakasirika wapuuzi nyinyi
 
Acha kukasirika basi futa hio weka hii
 

Attachments

  • FB_IMG_1653318258238.jpg
    72 KB · Views: 11
Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATO
Sasa mpuuzi si yupo madarakani awatoe nao
 
Huyo putin kaisaidia nini Russia zaidi ya udikteta tu na nguvu za kijeshi,kwa rasilimali ilizonazo urusi inashindwaje kuwa hata katika G5?Russia na north korea umaarufu wao ni kupingana na nato basi mwenzao China mjanja kabadili mfumo wa kiuchumi sasa yuko juu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…