Mag3, mimi simhofii Dr.Slaa. Na hakuna kitu ningependa kama kuona chama kingine chenye nguvu, mvuto, dira na sera za kueleweka kikiiongoza nchi. I'm tired of CCM, too. But let's be realistic here: 'kuongoza dola sio jambo la mchezo.' I mean, nchi haiogozwi na mtu mmoja... Plus, kama umesoma makala yote hadi mwisho, utaona jinsi makala nzima inavyo paint positive image kuhusu this Slaa guy unayemzungumzia. So unaweza ukaendelea kung'ang'ania ushabiki wako wa kitoto for the natural term of your life, but nobody is forcing you ukubaliane na tathmini ya hapo juu.
lets assume hayo maneno yako hapo juu ni sahihi......................nina swali
1. unaposema "kuongoza dola si jambo la mchezo"..................ni kitu gani hasa ambacho CCM wanaongoza (if true kama wanaongoza) hivi sasa ambacho chama kingine kitashindwa..............?
Hakuna mtu asiyekubali kuwa CCM ni chama kikongwe na kina historia (thats a FACT).........KANU kule Kenya, ZANU kule Zambia mambo yalikuwa hivi hivi..............wengine walijiamini hata kwenda kucheza GOLF..........wengi wetu hapa tunaijua vyema historia............
Tunachotaka kukuambia kuwa CCM ni chama kilichoharibika sana na kinaendelea kuharibika siku hadi siku mifano ipo...................pia huna budi kukubali tuko kwenye mfumo wa vyama vingi................na hivi vyama vinakua kwa kujijenga pole pole kwa kuuza sera zao.............na kukubalika kwa wananchi
BongoTz....ujumbe wako ni mzuri.............isipokuwa
1. umeanza na kubagua kuwa ni chama cha Wachagga............hiyo dhmabi ni mbaya.............just that statement alone........inaondoa credibility ya makala yako...........kwani Chadema ina wanachama nchi nzima..........people were badly beaten kule Tarime......sijui nao utawaita wachagga...............imagine mtu kutoka Tarime au Kigoma ansoma ujumbe wako..nafikri ataachia kwenye hiyo statement na kuanza kuandika hayo unayoona wewe ni matusi.....wakati uliyoandika wewe kwa mtu wa Tarime ni matusi pia..............
2. umejaa woga wa kuona mabadiliko........yaani kama huamini amini vile kuwa chama kingine kikichukua madaraka hakiwezi hata kukutumia wewe BongoTz kuijenga nchi yetu...............please elewa kuwa CCM pamoja na mizizi yake sio end of the world ya UONGOZI wa taifa letu............tunao watu capable zaidi ya kina Chenge/Rostam Lowassa/Mkuchika/.................nje ya CCM wengi tu.........
kuna asili ya watu wengine wameumbwa kuongozwa.........hawana ujasiri wa kuongoza.......na kuna asili kubwa ya binadamu kutopenda mabadiliko.............ndio maana wengi baado sana hawaamini kuwa Chama cha Upinzani chaweza kuongoza nchi yetu..............
Unapenda kuona pepo lakini njia ya kwendea peponi i.e. mabadiliko unaitilia shaka...............well Mkuu.........trust me tumekuwa ndani ya gari/ndege bila ya rubani...............tunaponea majanga ya kila aina kwa kudra za Mwenyezi Mungu............