Mkuu, kama hujui jambo, uliza usaidiwe lol. Utata wa Healthcare haupo kwenye gharama.In fact, polls nyingi zinaonyesha kuwa wananchi wengi wanadai kuwa healthcare reform haikuenda mbali vyakutosha (didn't go far enough). And so please allow me to educate you on this issue kidogo: Ah, score ya CBO (Congressional Budget Office) juu ya Healthcare ilikuwa kama ifuatavyo: overall cost projection for ten years ilikuwa $940 billion (but it will reduce the deficit by $130 billion over the same period). And most of all, it will cut the deficit by $1.2 trillion over the second ten year period (pretty cool stuff, huh lol!). So ukiangalia hizo projections, utaona kuwa gharama sio kubwa sana kama ambavyo "tea party supportes" wamekufanya uamini.
Mkuu hapa unazungumzia Mtazamo wa Democratic na projection yao ambayo inapingwa na Republican. Hivyo kuandika kupunguza deficit haina maana yoyote ikiwa wananchi hawakubaliani na mahesabu hayo kwani Republican wanachosema Healthcare itaongeza gharama za kufanya biashara..
Mimi na wewe hatuzungumzi Politics hapa iwe Democratic wako sawa au Republican, Obama au Clinton au McCain...tunachojadili hapa ni maoni ya wananchi wapigakura kwa nini wanaipinga Healthcare na kipi kinachoendelea hivyo Obama anakosa support ya wapigakura.
Nachokwambia mimi ni kwamba wananchi wanaona gharama kubwa toka mfukoni mwao kwa ule msemo usemao cha bure ghali, kumbuka tu hawa sii wajamaa hivyo Healthcare inakuja na gharama zake toka mfukoni mwa raia. Kwanza kila mtu anatakiwa kuwa na health insurance hivyo kila mmoja wao analazimika (Mandatory) kununua healthcare toka mashirika ya Insurance iwe kiwango cha chini tuseme Usd200/m x Population hizo zinaondoka kila mwezi mfukoni uwe unaumwa au huumwi. Bahati uwe na kazi ya kudumu na shirika linalipia..
Sasa kumbuka tu Marekani kuna watu wenye insurance tayari leo hii wanashindwa kulipia Insurance kila mwezi bado ikiwa sii lazima (sii sheria)...Wanaoshindwa kulipia Insurance premium kila mwezi ni kama jinsi Bongo wapo watu wanashindwa kulipia maji au Umeme kila mwezi kutokana na hali ya maisha.. Hivyo kuwepo kwa healthcare as a RIGHT ya mwananchi lakini right hiyo inawalazimu kutoka mfukoni mwao na wakishindwa kuna fine hapo ndipo watu wanasita ku support healthcare hii.
No, don't twist my words. Nilichosema ni kwamba "Stimulus package aliyoipitisha mara tu baada ya kushika madaraka, haikuenda mbali kama ambayo liberal economists wengi walivyotarajia." In other words, stimulus haikuwa big and bold enough to inspire confidence. And nobody amesema kwamba stimulus haikusaidia kuepusha total collapse ya financial institutions.
Mkuu wangu hapa nimejaribu tu kukwambia jinsi wananchi wanavyoiona Stimulus na sii jinsi wachumi wananvyoitazama. Kumbuka tunachozungumzia ni kwa nini Obama yupo ktk msukosuko wa kisiasa kutoka kwa wapigakura na wewe ukaja na majibu yako kama ndizo sababu. Nami nikakujibu kwamba wananchi hawatazami maswala hayo kwa jicho uloliweka, isipokuwa Stimulus kama alivyo wapromise wananchi ni kwamba ingezaa kazi zaidi..sasa swala kubwa halkikuwa kutoka kwa hizo fedha bali ni wapi serikali ya Obama ime invest fedha hizo na wakategemea kazi lakini hazikuzalishwa kwa kiwango kile. Wamarekani hawajali hiyo Stimulus how big and bold kuweza kurudisha matumaini yao ikiwa hakuna Ajira..increase in job opportunities ndio pekee inatudisha confidence ya watu..
Mkuu, unajua kweli unachokizungumzia hapa lol!!? Geez, you never cease to disappoint me!! Ah, vitu vyote ulivyovitaji hapo juu ni core issues za liberals. Independents wanajali zaidi kuhusu economy na deficit reduction. Ndo' maana Ross Perot alilamba kura nyingi sana za Independents mwaka 1992/1993 kwasababu centerpiece ya kampeni yake ilikuwa based juu ya deficit reduction.
Haswa najua nilichoandika kwani neno independent pekee linasimama peke yake. Yaani hawa support sera
ZOTE za kushoto wala Kulia isipokuwa wanayo maswala muhimu kama vipaumbele vyao na yeyote atakaye yasimamia basi ndiye watampa kura zao. Yes, Gay rights na Immigration rights ni Liberalism kwa mtazamo wa kukubaliwa. Obama anatazama Gays right kama ni swala la states na sio Kitaifa kinyume cha mtazamo wa Liberal na anapinga ndoa ya wanaume, kitu ambacho hakimfanyi yeye kuwa Republican..
Hivyo, Independent sii lazima wasikubaliane na kila kitu cha Democratic ili uwe independent..unaweza kuunga moja au hata mengi lakini ukapinga mengineyo ambayo kwako ni muhimu hivyo usikichague chama hicho au mgombea fulani..Wapo watu tanzania leo hii wameamua kuwa Independent kwa sababu tu CCM imeshindwa kuwathibiti Mafisadi na kama JK ataweza kuwashawishi upya pengine wanaweza kurudi.
Yeah, hata Obama amerithi matatizo ya high unemployment toka kwa Bush. No, Reagan hakusema hayo maneno ktk kampeni zake. Maneno hayo aliyasema kwenye inaugural address yake [January 20, 1981]
Does it matter?..Au ndio ktk kusahihishana ili mradi tu ujumbe ufike. Well, nadhani umeelewa kwamba serikali inaweza kuwa problem..na ndicho tunachosema sisi kwamba serikali ya CCM ndio Problem haiwezi kuwa solution ya matatizo yetu.