Pumzika kwa amani mdogo wangu

Pumzika kwa amani mdogo wangu

Kinachoniuma mimi ni kwamba walikuwa wadogo sana and they looked cute and innocence![emoji116].....R.I.P watoto wazuri!
 
Attachments

  • FB_IMG_14941492137600179.jpg
    FB_IMG_14941492137600179.jpg
    54 KB · Views: 36
Pole sana mpendwa. Mungu wetu tunayemuamini na kumuabudu, akawape faraja ya pekee wafiwa wote. Ni msiba mzito na mgumu kwa Taifa
 
So sad, may her soul rest in peace
 
The most painful goodbyees are the one that are never said and explained.

Pole sana Chibudee na familia nzima kwa pigo hili mlilolipata.

Mungu awafariji

Rest in peace Sabrinah
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg

Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Pole sana Mkuu ila nisiwe pia mchoyo wa kumshukuru Mwenyezi Mungu kuwa ama hakika alijitahidi kutulia na ' kumuumba ' Sabrinah kwani ameondoka na ' Urembo ' wake wa ' kutukuka ' kabisa.

RIP Pretty Girl Sabrinah.
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg

Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Umenitoa machozi,nimelia bila kutegemea.
"Hakika sisi ni wa Allah,na kwake tutarejea"
 
Pole sana brother, ndo njia yetu sote, cha msingi ni kumuomba mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amen
 
Inalilah Wainn Rajiun,hakika yeye ndio muweza na muamuzi wa yote yaamfaayo,yeye ndiye Alpha na Omega na kazi yake haina makosa,Nenda Mdogo wetu,nendeni kwake yeye baba Yetu wadogo zetu wote,Mungu awape pumzisho lenye kheri,Pole kwako chief na Familia nzima kwa Msiba huu mkubwa ulilikumba taifa letu

Ewe Mungu baba tunaomba busara na Hekima zako katika kipindi hiki kigumu kwetu
 
Pumzika kwa amani Honorable President.

Ndoto yako ingelitimia nasi hatuna budi kukupa heshima yako kama Rais. Pumzika kwa amani.
 
Back
Top Bottom