Pumzika kwa amani mdogo wangu

Pumzika kwa amani mdogo wangu

Mungu awe mfariji wako na familia nzima.
Mungu anajua kwa nini aliruhusu ajali hiyo imchukue duniani.
 
Pole sana Mungu awe mfariji wa wote walio guswa na msiba huu!!!!
 
Hakika maisha na dunia ni starehe ya muda na akhera ni marejeo.
Sabrinah MwenyeziMungu aifanye wepesi hesabu yako na awape subra wazee wako nduguzo na jamaa zako na msiba wako utupe ibra tuliobaki nyuma yako.Mimi ni mzazi nimeshindwa kuvumilia maumivu ya wazazi waliofikwa na msiba huu MwenyeziMungu wape ponyo la maumivu ya msiba huu
 
Pole sana Chibudee Mungu awafariji, wewe binafsi na familia yenu yote.
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg



Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah
Hakika sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea!!
 
Duh pole sana.
May her soul rest in peace.....amen.
 
Back
Top Bottom